Me mungu abless tu mitikasi yangu, nisepe tz😌Ah Kmmmae watanganyika endeleeni kulinda amani ili watawala wazidi kujilimbikizia Mali za umma 🙌
Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamshaMe mungu abless tu mitikasi yangu, nisepe tz😌
Haya wanaiba....Hapa mchochezi na mvunja amani ni nani ivi kati anayeuza resources ama anayetusanua
Mkuu hata ukiwa nje ya nchi…kama ww ulizaliwa na kukulia Tanzania,ni ngumu kusahau ya Tanzania, utajikuta unahisi hapa sio kwetu niko nchi za watu…kuna upweke na kujiona you don’t belong here.Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha
Tupo wote mkuu, viongozi wa tz jau sanaMe mungu abless tu mitikasi yangu, nisepe tz😌
It's true but what will you do? It's new life you have to face it..maisha sio bongo tu...naenda hata croatia huko, kutana na watu make connections..Yani unakua kama umezaliwa mtu mwingine.Mkuu hata ukiwa nje ya nchi…kama ww ulizaliwa na kukulia Tanzania,ni ngumu kusahau ya Tanzania, utajikuta unahisi hapa sio kwetu niko nchi za watu…kuna upweke na kujiona you don’t belong here.
Useless kabisa, wazee wako walikufa wakipigania nchi yao ili wewe uwe huru, kwanini wewe usipiganie rasilimali za nchi yako ili watoto wako wazikute.Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha