Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Nitaelewa kitu gani toka kwa mtu kama wewe kwa mfano; mtu unayejulikana msimamo wake ni uleule mmoja siku zote?

Hata hivyo, nimekusoma na kuelewa ulicho andika hapo. Unatetea jambo ambalo hata wewe mwenyewe hulijui; sasa huo ni utetezi wa namna gani?

Ndiyo maana tunasema sasa kwamba nyinyi ni kundi mlioandaliwa kuja humu JF kutetea kila jambo linaloletwa kujadiliwa humu dhidi ya hao waliowaandaa.

Tusichokuwa na mashaka nayo tena ni tabia mbaya sana alizonazo Samia Suluhu Hassan.; kufikiri kwamba kwa yeye kuwa mtawala wa nchi hii, anakuwa ndiye mwenye mali za nchi hii, na kuchukua maamuzi atakavyo kama mtawala. Hili hatuna shaka nalo tena; nimetoa mifano hapo juu.

Wewe unapokuja hapa na kutetea usichojua, wewe ni nani?

Hizo takataka nyingine ulizoandika huko chini sihangaiki kupoteza muda kusoma.
Teh teh teh
Yaani we kwa akili yako Samia anachotaka Serikali yoote ifuate.
Impe kilainii ale kwa raha zake.

Basi huyo atakuwa zaidi ya Mfalme SOLOMON AU DAVID.
😂😂
 
Nimeuliza hapo juu. Km Tanzania imeficha habari ya kuuza KIA kwa hofu ya kuwachafua watanzania Je na OMAN PIA WAMEFICHA kwa kumuogopa nani?
Kwa kumlinda mshirika wao; kwani hili nalo ni gumu kujibu?
Kwani Oman wanao mfumo gani huru wa watawala wa huko kuamua swala lilale kwanza hadi hali itulie vizuri kwa mpwa wao wasimletee matatizo!
 
Teh teh teh
Yaani we kwa akili yako Samia anachotaka Serikali yoote ifuate.
Impe kilainii ale kwa raha zake.

Basi huyo atakuwa zaidi ya Mfalme SOLOMON AU DAVID.
😂😂
OOoooh!

Hivi kweli zinakutosha wewe? Serikali ipi impinge Samia; mtu aliyelazimisha nchi nzima awatawale kwa mabavu!

Unamtegemea nani huko serikalini. Kabuti kalamaganda; au Chnjuwa Madelo aliyehongwa uwaziri mkuu?

WaTanzania wanauliwa hapa kama wanyama kwa sababu mtu mmoja tu kakataa waTanzania wasipate fursa ya kuchagua viongozi wanayemtaka wenyewe; na wakuu wa vyombo vyote waliowekwa mfukoni (bila shaka kwa msaada wa hao hao wajomba) hakuna hata mmoja anayehoji; halafu uje hapa na kujichekesha kama kuna jambo jema la kucheka hapa?

Nadhani ni wakati sasa kuanza kufuatilia na kujuwa huyu Samia hasa anasukumwa na nani toka huko nje. Haitashangaza kama haya yote tunayoyashuhudia nchini mwetu hakuna mkono wao unaoyaendesha.

Tunaona jinsi Sudan wanavyovurugika, kwa sababu hizo hizo za kuingiliwa toka huko huko arabuni.
 
Kwa kumlinda mshirika wao; kwani hili nalo ni gumu kujibu?
Kwani Oman wanao mfumo gani huru wa watawala wa huko kuamua swala lilale kwanza hadi hali itulie vizuri kwa mpwa wao wasimletee matatizo!
Teh teh teh
Yaani OMAN ambayo ina uwezo wa kununua hii nchi yetu CASH MONEY leo ishirikiane kuficha uwekezaji halali wa kiwanja kidogo km KIA ILI Mama Samia apate KUIBA! 😂😂🤣

Ndio nikasema Hata km huna elimu ya uwekezaji na ushirikianino wa kimataifa jaribu kishirikisha ubongo kabla ya kujaza pumba humu.

We kwa akili yako oman yenye uchumi wa mafuta na uwekezaji mpk Uingereza na mataifa mengi ya ulaya na ISA na wenye RAIA wao wasiozidi milioni 3 wana shida ya kuficha ujinga huu mnaoleta humu?
We kweli fahamu zako ziko sawa?
 
Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha
That’s selfishness! Unaona afadhali kufa kwa kugongwa na gari (au kwa kipigo cha kukamatwa ugoni, kwa ugonjwa, etc) kuliko kufa kwa kupigania haki yako na ya vizazi vijavyo?
 
Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha
Ulichoandika sio ujanja ni ujinga. Ukikua utaelewa kwanini wenzako wanapinga utawala mbovu.
 
Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha
Hauko sawa ktk kufikiria.
Unaona bora wote tuikimbie nchi yetu tuwaachie mafisadi wamalize rasilimali zote?
Utaweza kuhamisha na ndugu zako wote kwenye ukoo wenu?
Huko uendako na wao wangefanya hivyo kwa nchi yao, wewe ungekimbilia wapi?
Uoga na ubinafsi vitu vibaya sana kwa binadamu.
 
Teh teh teh
Yaani OMAN ambayo ina uwezo wa kununua hii nchi yetu CASH MONEY leo ishirikiane kuficha uwekezaji halali wa kiwanja kidogo km KIA ILI Mama Samia apate KUIBA! 😂😂🤣

Ndio nikasema Hata km huna elimu ya uwekezaji na ushirikianino wa kimataifa jaribu kishirikisha ubongo kabla ya kujaza pumba humu.

We kwa akili yako oman yenye uchumi wa mafuta na uwekezaji mpk Uingereza na mataifa mengi ya ulaya na ISA na wenye RAIA wao wasiozidi milioni 3 wana shida ya kuficha ujinga huu mnaoleta humu?
We kweli fahamu zako ziko sawa?
Omani haiwezi kununua Tanzania kwa cash.
Nchi kubwa around 946000 km square yenye ardhi yenye rutuba na madini ya kutosha chini yake, yani uinunue tu kirahisi rahisi hivi? Acheni kuabudu Waarabu, hawana hizo pesa za kuinunua Tanzania
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
Tutailinda amani kwa wivu wa hali ya juu
 
Tuulizie kwake je, tutaandamana lini tena?
 
Anaandika MANGE DADA WA TAIFA KUPITIA PAGE YAKE YA X MANGE ANAANDIKA👇🏾👇🏾
FB_IMG_1765770233330.jpg

UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI- AIRPORT YA KIA IMEONDOKA TAYARI

Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.
FB_IMG_1765770235595.jpg

Watanzania amkeni…
 
Wewe kwa kuwekewa kipande cha picha tu ambacho mtu yyt anaweza kukotengeneza tayari jazba .
Inaoneka hujui hata jinsi gani system ya kufunguliwa kampuni.
Watanzania tusiwe na mihemko . Subiri Watangaze wameuza KIA ndio muanze kusema mtakayo sio picha ya kijinga inayodaiwa Certificate ya Brela

We umewahi kujiuliza. Km Tanzania inaficha kuhusu KIA kwa ati kusubiri kutulie na OMAN pia inaficha habari hii kwa lengo gani??
Au unadhani serikali ya OMAN imeoza km hii ya kwetu?
Tusiwe wepesi kudanganywa na yule mwanamke asie na kwao.
Ambae pesa ya kulisha watoto wake anaipata kwa kazi ya UNAFIKI mitandaoni.
Leo akikosa Siasa kesho anatafuta kuvunja ndoa za watu .
.kumbukumbu hii comment.. for the next days
 
Anaandika MANGE DADA WA TAIFA KUPITIA PAGE YAKE YA X MANGE ANAANDIKA👇🏾👇🏾View attachment 3515676

UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI- AIRPORT YA KIA IMEONDOKA TAYARI

Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.
View attachment 3515677

Watanzania amkeni…
Mbona hamtoi Tangazo la tunaandamana lini tena na sasa mmehamia katika mambo mengine?
 
Sisi tunataka AMANI mkuu ....hata kiuzwe Kila kitu,amani kwanza, Tanzania kwanza 😎
 
Back
Top Bottom