Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Hawa ndio watatuuza ndani ya wiki tuShida ya mange na chadema hamtaki wawekezaji sijui hata nyie mkikamata dola sipati picha hii nchi mtaendesha vipi?
Hawa ndio watatuuza ndani ya wiki tuShida ya mange na chadema hamtaki wawekezaji sijui hata nyie mkikamata dola sipati picha hii nchi mtaendesha vipi?
😂😂😂 Sawa kama una huo muda nenda kapiganieUseless kabisa, wazee wako walikufa wakipigania nchi yao ili wewe uwe huru, kwanini wewe usipiganie rasilimali za nchi yako ili watoto wako wazikute.
Mmekazania uhuru uhuru, ..wazee walifanya kazi yao walimaliza, ..mmebaki nyie, mambo ya miaka 60+ nyuma mnayalinganisha na Karne hii..mnasema mnaandamana kama mnaona maandamano kufanya fujo kuvunja biashara za watu na kuiba na kuchoma nchi ndio zitalinda hicho mnachokidai basi endeleeni...Watu kama nyie mngekuwepo kipind cha Nyerere Tanganyika isingepata uhuru....
Sio kosa lao. Kukosa elimu ni kubaya sana. Tatizo akili za watanzania kama Hawa ni kupiga ramli.Wacha kufanya watanzania wapumbavu.
Hio copy ya Brela mtu yyt mwenye basic IT skills anatengeneza .
Na hata km hujui namna ya kutengeneza Nenda kariakoo wanakutengenezea Certificate yyt kwa jina lolote kwa shs 2000 tu ndani ya dakika 5.
Ok tuseme mfano usemayo ni kweli na Tanzania imeuza KIA. na unadai imekaa kimya sababu bado hakujatulia.
Swali nakuuliza je na Hio Serikali ya OMAN pia imeshindwa kuandika kwenye Taarifa zao na uwekezaji kwa sababu na wao wanasubiri kutulie Tanzania au?
Au unataka kusema Serikali ya OMAN ambao wamewekeza nchi zaidi ya 85 wanaogopa Watanzania mpk kuficha pale walipowekeza pesa zao WENYEWE?
Nenda kasome website ya serikali ya OMAN kisha tazama kurasa ya Oman investment abroad uone kama kumetajwa KIA humo.
Mkitaka kusema UONGO jaribuni kukumbuka kuwa sasa hivi watanzania wengi wasomi, wajanja, na kule mlikotokea wengine walishapita miaka 30 iliopita.
Mtawapata wale wasio na elimu yyt ya exposure ya dunia ingine zaidi ya JF tu.
Hao ndio hukurupuka kwa kusoma kichwa cha habari tu jarida la nipashe .
Hapo ukiongea unaitwa mchochezi na watasema unataka kuivuruga amaniHapa mchochezi na mvunja amani ni nani ivi kati anayeuza resources ama anayetusanua
Bado mnaendelea kulishwa matango pori sio? hata wewe ukitaka wekeza unanyimwa na nani? MBONA ENZI ZA MKAPA WA South Africa walimiliki biashara zaidi ya 100 hatukupiga kelele?Anaandika MANGE DADA WA TAIFA KUPITIA PAGE YAKE YA X MANGE ANAANDIKA👇🏾👇🏾View attachment 3515676
UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI- AIRPORT YA KIA IMEONDOKA TAYARI
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.
Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.
Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.
Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.
View attachment 3515677
Watanzania amkeni…
Pumbavu kabisa ...kwaio waliokufa OKTOBA 29 na 30 what did they achieve? Wameacha familia zao ..for what..? Hivi mnafikiri hii miaka ni Ile miaka ya 60..this is new era..survival of the fittest...Dunia ya Sasa haiitaji weak aasholes ..it's the world of opportunities, the world of connections, once you see the opportunity you grab it..wale waliowapump ndugu zetu Hadi wakauwawa and waste their lives for nothing, wamepokea mabilioni kwenye akaunti zao, this is the world how it works kwa Sasa ..wewe nenda kafe kapishane na ak47 wewe ukirusha maweThat’s selfishness! Unaona afadhali kufa kwa kuongwa gari (au kwa kipigo cha kukamatwa ugoni, kwa ugonjwa, etc) kuliko kufa kwa kupigania haki yako na ya vizazi vijavyo?
Kwaio unaonaje...tuingie barabarani tuchome nchi na kuharibu biashara za watanzania wenzetu walioanzisha biashara hizo kwa jasho na damu ..Hauko sawa ktk kufikiria.
Unaona bora wote tuikimbie nchi yetu tuwaachie mafisadi wamalize rasilimali zote?
Utaweza kuhamisha na ndugu zako wote kwenye ukoo wenu?
Huko uendako na wao wangefanya hivyo kwa nchi yao, wewe ungekimbilia wapi?
Uoga na ubinafsi vitu vibaya sana kwa binadamu.
Kusepa hakukusaidii wakati bloodline yako ipo Bongo, utabeba wote hadi makaburi ya wahenga utayafukua kuyahamisha?Me mungu abless tu mitikasi yangu, nisepe tz😌
Mkuuu wahenga wanini kwangu?Kusepa hakukusaidii wakati bloodline yako ipo Bongo, utabeba wote hadi makaburi ya wahenga utayafukua kuyahamisha?
Kusepa hakukuzuii kupambania nchi yako.
At least umeandika wewe mwenyewe, Hii Nchi yaani Tanzania, URT (united Rep of Tanzania), IMEOZAWewe kwa kuwekewa kipande cha picha tu ambacho mtu yyt anaweza kukotengeneza tayari jazba .
Inaoneka hujui hata jinsi gani system ya kufunguliwa kampuni.
Watanzania tusiwe na mihemko . Subiri Watangaze wameuza KIA ndio muanze kusema mtakayo sio picha ya kijinga inayodaiwa Certificate ya Brela
We umewahi kujiuliza. Km Tanzania inaficha kuhusu KIA kwa ati kusubiri kutulie na OMAN pia inaficha habari hii kwa lengo gani??
Au unadhani serikali ya OMAN imeoza km hii ya kwetu?
Tusiwe wepesi kudanganywa na yule mwanamke asie na kwao.
Ambae pesa ya kulisha watoto wake anaipata kwa kazi ya UNAFIKI mitandaoni.
Leo akikosa Siasa kesho anatafuta kuvunja ndoa za watu .
Hapa sio pa kuishiTupo wote mkuu, viongozi wa tz jau sana
Aaah nchi ishakuwa ya kifalme hiiHuko ni kukabidhi rasmi haki yako kwa majambazi!