Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Hizi ndio mbanga za kuwaza ..sio mtu anakuambia uandamane ..watu wanakula shares billions wataacha kukupiga risasi ya kichwa ukiingilia ama kutaka kuharibu mitikasi yao ...Bora ufanye mishe mambo yakitiki mzee unaamsha
Woga na ubinafsi. Pambania nchi yako. Huko unapotakukimbilia walipambana kukawa vzr.
 
Wacha kufanya watanzania wapumbavu.
Hio copy ya Brela mtu yyt mwenye basic IT skills anatengeneza .
Na hata km hujui namna ya kutengeneza Nenda kariakoo wanakutengenezea Certificate yyt kwa jina lolote kwa shs 2000 tu ndani ya dakika 5.

Ok tuseme mfano usemayo ni kweli na Tanzania imeuza KIA. na unadai imekaa kimya sababu bado hakujatulia.
Swali nakuuliza je na Hio Serikali ya OMAN pia imeshindwa kuandika kwenye Taarifa zao na uwekezaji kwa sababu na wao wanasubiri kutulie Tanzania au?
Au unataka kusema Serikali ya OMAN ambao wamewekeza nchi zaidi ya 85 wanaogopa Watanzania mpk kuficha pale walipowekeza pesa zao WENYEWE?

Nenda kasome website ya serikali ya OMAN kisha tazama kurasa ya Oman investment abroad uone kama kumetajwa KIA humo.

Mkitaka kusema UONGO jaribuni kukumbuka kuwa sasa hivi watanzania wengi wasomi, wajanja, na kule mlikotokea wengine walishapita miaka 30 iliopita.
Mtawapata wale wasio na elimu yyt ya exposure ya dunia ingine zaidi ya JF tu.
Hao ndio hukurupuka kwa kusoma kichwa cha habari tu jarida la nipashe .
Mkuu unaongea nini? Haya mkataba wa DP World ni utata mtupu. Na saini zimewekwa kimagumashi na sio mtawala wa Dubai kasaini.
 
Transom Tanzania Limited hii kampuni imesajili Brela umiliki wa KiA airport binafsi kwangu ni Kizungumkuti

Bado tupo kwenye sintofahamu ya umilikishwaji wa bandari ya Dar es salaam, Sasa tena KIA nayo ndo hivo

Hivi kweli serikali inashindwa kuendesha KIA airport Kwa tija hadi iwape Oman waendeshe

Tukumbuke KIA ni sehemu ya mkakati ipo pale karibu na mgodi wa Mererani yanapopatikana madimu pekee duniani Tanzanite

Hapa tuna hofu ya Tanzanite na mazao ya Wanyama pori kupanda ndege kwe Uarabuni

Umiliki uko hiv
Imani 65%
URT 10%
Transom Tanzania Limited 25

Inasemekana huyo Transom Tanzania Limited ni umiliki wa Mwana Malikia

JWTZ na TISS liokoeni hili taifa aisee
markup_1000210075.png

markup_1000210076.png
 
CCM ina abuse sana mamlaka ya nchi. Inabidi nchi iendeshwe kwa mfumo wa majimbo ili ccm wakose mamlaka ya kuuza kila kitu wanavyotaka. Haiwezekani mtu yuko Dodoma au Zanzibar anaamua tu kuuza Mlima Hanang' bila wananchi wenyewe wa Hanang' kuulizwa kama wanataka mlima wao uuzwe au lah. (Huu ni mfano)
 
Transom Tanzania Limited hii kampuni imesajili Brela umiliki wa KiA airport binafsi kwangu ni Kizungumkuti

Bado tupo kwenye sintofahamu ya umilikishwaji wa bandari ya Dar es salaam, Sasa tena KIA nayo ndo hivo

Hivi kweli serikali inashindwa kuendesha KIA airport Kwa tija hadi iwape Oman waendeshe

Tukumbuke KIA ni sehemu ya mkakati ipo pale karibu na mgodi wa Mererani yanapopatikana madimu pekee duniani Tanzanite

Hapa tuna hofu ya Tanzanite na mazao ya Wanyama pori kupanda ndege kwe Uarabuni

Umiliki uko hiv
Imani 65%
URT 10%
Transom Tanzania Limited 25

Inasemekana huyo Transom Tanzania Limited ni umiliki wa Mwana Malikia

JWTZ na TISS liokoeni hili taifa aisee
View attachment 3515867
View attachment 3515869
Tanganyika nchi ambayo wazawa wake wameaminishwa kuwa ni nchi yenye raia iliyoshindwa kuendesha chochote,

Kampuni mama Transom ya Oman

View: https://m.youtube.com/watch?v=7V1APABSonY

A Unique Travel Experience​

We at MARAHEB firmly believe that the best air travel experiences are baggage-free and hassle-free. With this in mind, MARAHEB offers Off Airport Check-in services designed to simplify guests’ journey through baggage transfer and passenger check in.
1765815963426.jpeg

MARAHEB offers Off Airport Check-in for departing guests. MARAHEB is currently launched in Muscat and will expand its operations to other regions of the Sultanate of Oman.
 
Oman Ground Handling Company "TRANSOM Handling" launched, in collaboration with Oman Airports, "MARAHEB" the off-airport check-in services.​

This service has been introduced to keep up with the rapid changes in the travel and tourism sector, meeting the needs of travelers and providing them with a more flexible travel experience. This innovative offering allows travelers to complete their travel procedures from anywhere before the flight, with a maximum of 24 hours and a minimum of 6 hours prior to departure.

The service was announced by our Executive Director, Sheikh Saud bin Abdulaziz Al-Azizi, who recognized the importance of adapting to the evolving demands of modern travelers.

The inauguration ceremony, held to mark the launch of this pioneering service, was attended by a distinguished guest, Sheikh Aimen bin Ahmed Al Hosni, The CEO of Oman Airports. Also present were several high-ranking officials from airport authorities and representatives from various airline companies. This collaborative effort between key stakeholders demonstrates a commitment to enhancing the overall travel experience and ensuring convenience and efficiency for all travelers passing through our airports
 
Kampuni ya Huduma za Viwanja vya Ndege, Upakuzi na Upakiaji ya Oman "TRANSOM Handling" ilizindua, kwa ushirikiano na Viwanja vya Ndege vya Oman, "MARAHEB" huduma za kuingia nje ya uwanja wa ndege.​

Huduma hii ya kisasa ya upagazi, imeanzishwa ili kuendana na mabadiliko ya haraka katika sekta ya usafiri na utalii, kukidhi mahitaji ya wasafiri na kuwapa uzoefu wa usafiri unaobadilika zaidi. Ofa hii bunifu inaruhusu wasafiri kukamilisha taratibu zao za usafiri kutoka mahali popote kabla ya safari ya ndege, kwa muda usiozidi saa 24 na angalau saa 6 kabla ya kuondoka.

Huduma hiyo upagazi wa kisasa katika viwanja vya ndege ilitangazwa na Mkurugenzi wetu Mtendaji, Sheikh Saud bin Abdulaziz Al-Azizi, ambaye alitambua umuhimu wa kuzoea mahitaji yanayobadilika ya wasafiri wa kisasa.

Sherehe ya uzinduzi, iliyofanyika kuashiria uzinduzi wa huduma hii ya upainia, ilihudhuriwa na mgeni mashuhuri, Sheikh Aimen bin Ahmed Al Hosni, Mkurugenzi Mtendaji wa Viwanja vya Ndege vya Oman. Pia walihudhuria maafisa kadhaa wa ngazi za juu kutoka mamlaka za viwanja vya ndege na wawakilishi kutoka kampuni mbalimbali za ndege. Jitihada hii ya ushirikiano kati ya wadau muhimu inaonyesha kujitolea kwa kuimarisha uzoefu wa jumla wa usafiri na kuhakikisha urahisi na ufanisi kwa wasafiri wote wanaopitia viwanja vyetu vya ndege.
 
Yaani OMAN ambayo ina uwezo wa kununua hii nchi yetu CASH MONEY leo ishirikiane kuficha uwekezaji halali wa kiwanja kidogo km KIA ILI Mama Samia apate KUIBA!
hivi akili ya namna hii kweli nayo unajihesabu wewe kuwa unastahili kuitwa binaadam?
Tokea hapa nakuweka kwenye hadhi ya kuwa mfugo; tena Nguruwe hasa!
We kwa akili yako oman yenye uchumi wa mafuta na uwekezaji mpk Uingereza na mataifa mengi ya ulaya na ISA na wenye RAIA wao wasiozidi milioni 3 wana shida ya kuficha ujinga huu mnaoleta humu?
We kweli fahamu zako ziko sawa?
Ina maana kwa haya yote uliyoeleza hapa; ni kweli kwamba Samia ameiuza Tanzania kwa Oman tayari, au kawakabidhi mifugo kama nyinyi kwanza halafu ndiyo wengine wote tuwe mali ya Oman?

Nilidhani ulevi wako wa dini unaishia huko huko kwenye dini; kumbe hali yako ni duni kiasi hiki kifikra hata katika maswala mengine?

Sasa tueleze, ile gesi ya Ntorya, kule Mtwara hawa wajomba zenu mliwauzia kwa pesa kiasi gani? Au wewe hayo hayakuhusu kwa vile ni nguruwe mfugwaji tu anayesubiri makombo mezani kwa Samia?
 
Hakika nchi hii hadi upagazi (mizigo ya wasafiri / wasafirishaji), na huduma zinginezo katika viwanja vya ndege tumeshindwa hadi kuagiza kutoka nje kampuni ya wapagazi waliovaa suti airport
 
Back
Top Bottom