Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Anavyosema aachwe amalize miaka yake ndio anamaanisha tukalie kimya vitu kama hivi. Sasa hiyo kampuni itaendesha KIA miaka mingapi? Hapo utakuta ni 20 years. Sasa haoni kuwa miaka yake 5 itakuwa imetuingiza kwenye hasara ya miaka mingapi mbele?

Anataka mpaka anaondoka, kamaliza kila kitu. Na kwa mwendo huu kuna kuondoka kweli? Si tutashtukia Abdul anaingia kuwa Rais 2030. Lazma watanogewa au watataka walinde mali zao na contracts zao.! Hata hiyo Ridhiwan asidhani ana chances za kuingia 2030. Hii familia sasa haina jema na mtu yoyote , wao wanaangalia kuifilisi Tanzania tu.
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645

Mimi napenda CCM.
 
There was no way huyu jambazi la kike angeweza kuichia nchi kirahisi rahisi kwa maandamano ya siku chache.

Yale matumizi ya silaha za kivita dhidi ya wanainchi ilikuwa ni kulinda mambo kama haya...

....ufisadi na wizi wa rasilimali ambao unampa samia utajiri mkubwa yeye na familia yake ni kitu ambacho anakilinda kwa gharama zozote zile...

...amefanikiwa kudanganya uma kupitia machawa wake eti anavyoteka,bambikizia watu kesi na kuua wakosoaji wake ni jitihada za kulinda amani, ila kihalisia hapo analinda maslahi ya familia yake na wajomba zake waraabu, kelele zisiwe nyingi wasije wakaishia njiani kwenye mission yao maana 2030 bado ni safari.

Na kwa yeyote anayetegemea huyu mzanzibar eti atajiuzulu kutokana na pressure anayokutana nayo ndani na nje ya nchi basi atasubiri sana, huyu mtu yuko radhi aishi kwa kuchukiwa hata na watanganyika wote hili tu amalize hiyo miaka mitano aliyojiongezea amalize na mission yao anayoshirikiana na wajomba.

Watanganyika kma kuna awamu ambayo tumewahi kuyakanyaga basi ni awamu hii..!!

Nyie machawa endeleeni kuhamasisha "amani" hili huyu mzanzibari aifilisi kabisa nchi kisha mzinduke kukiwa kumekucha
 
Inasikitisha sana na wazee wa kazi wapo tu hawaoni wala kusikia
Wazee wa kazi nani hao?

Hao wapumbavu walihongwa mi Rolls royce na mi G-wagon, sasa hivi wamekaa tu wanashangaa taifa linavyoporwa rasilimali zenye thamani ya matrillion?

Kma kuna wajinga grade A nchi hii basi ni hao wakuu wa vyombo vya usalama .
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
Ila Watanganyika ufala na uzoba umepitiliza kiwango, huu upumbavu Tanganyika itajikuta haina uwezo wa kufanya chochote bila kuomba ruksa kwa wamiliki wa uchumi wa Tanganyika ambao ni Wazanzibari na Waomani. Mapumbavu yenye uwezo wa kuzuia nchi kuuzwa kwa kuwa nayo yanarushiwa makombo na kina Abdul yapo tu yanatikisa matako na kukenua.
 
Hapa mchochezi na mvunja amani ni nani ivi kati anayeuza resources ama anayetusanua
Wewe kwa kuwekewa kipande cha picha tu ambacho mtu yyt anaweza kukotengeneza tayari jazba .
Inaoneka hujui hata jinsi gani system ya kufunguliwa kampuni.
Watanzania tusiwe na mihemko . Subiri Watangaze wameuza KIA ndio muanze kusema mtakayo sio picha ya kijinga inayodaiwa Certificate ya Brela

We umewahi kujiuliza. Km Tanzania inaficha kuhusu KIA kwa ati kusubiri kutulie na OMAN pia inaficha habari hii kwa lengo gani??
Au unadhani serikali ya OMAN imeoza km hii ya kwetu?
Tusiwe wepesi kudanganywa na yule mwanamke asie na kwao.
Ambae pesa ya kulisha watoto wake anaipata kwa kazi ya UNAFIKI mitandaoni.
Leo akikosa Siasa kesho anatafuta kuvunja ndoa za watu .
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
Wacha kufanya watanzania wapumbavu.
Hio copy ya Brela mtu yyt mwenye basic IT skills anatengeneza .
Na hata km hujui namna ya kutengeneza Nenda kariakoo wanakutengenezea Certificate yyt kwa jina lolote kwa shs 2000 tu ndani ya dakika 5.

Ok tuseme mfano usemayo ni kweli na Tanzania imeuza KIA. na unadai imekaa kimya sababu bado hakujatulia.
Swali nakuuliza je na Hio Serikali ya OMAN pia imeshindwa kuandika kwenye Taarifa zao na uwekezaji kwa sababu na wao wanasubiri kutulie Tanzania au?
Au unataka kusema Serikali ya OMAN ambao wamewekeza nchi zaidi ya 85 wanaogopa Watanzania mpk kuficha pale walipowekeza pesa zao WENYEWE?

Nenda kasome website ya serikali ya OMAN kisha tazama kurasa ya Oman investment abroad uone kama kumetajwa KIA humo.

Mkitaka kusema UONGO jaribuni kukumbuka kuwa sasa hivi watanzania wengi wasomi, wajanja, na kule mlikotokea wengine walishapita miaka 30 iliopita.
Mtawapata wale wasio na elimu yyt ya exposure ya dunia ingine zaidi ya JF tu.
Hao ndio hukurupuka kwa kusoma kichwa cha habari tu jarida la nipashe .
 
Dah... Najuta kuingia jf..
Hapa usingizi ndo basi tena..
Usikose usingizi kwa habari isio na mashiko utapata tabu sana.
Hii habari si lolote si chochote
Kila mtanzania anajua hii serikali haina kheri na taifa la Tanzania. Na so called viongozi wamejaa ufisadi.
Sasa yanini kuongezea Chumvi kwa kutunga habari za uongo ambazo hazina ushahidi wwt hata wa asilimia 2%??
Hapa tujadili kipi kifanyike kukomesha au kupunguza ufisadi. Lkn sio kusema uongo na kupandisha jazba watu ili wale vibaka wapate sababu ya kwenda kuvunja maduka na kuiba kwa kisingizio cha kuikomboa nchi
Watakula shaba tena za chap chap
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
nina mashaka sana kama hawa Oman ndio wanaochochea haya matatizo yetu; kama UAE wanavyofanya Sudan na kwingineko na Qatar nao na sehemu yao huko DRC.

Ni muhimu tuanze kuhoji, tujue hasa ni nani anatuchafua.
 
Usikose usingizi kwa habari isio na mashiko utapata tabu sana.
Hii habari si lolote si chochote
Kila mtanzania anajua hii serikali haina kheri na taifa la Tanzania. Na so called viongozi wamejaa ufisadi.
Sasa yanini kuongezea Chumvi kwa kutunga habari za uongo ambazo hazina ushahidi wwt hata wa asilimia 2%??
Hapa tujadili kipi kifanyike kukomesha au kupunguza ufisadi. Lkn sio kusema uongo na kupandisha jazba watu ili wale vibaka wapate sababu ya kwenda kuvunja maduka na kuiba kwa kisingizio cha kuikomboa nchi
Watakula shaba tena za chap chap
Wewe umejuaje kuwa ni uongo; mbona hujaeleza ukweli unaoujuwa wewe.
Haishangazi hata kidogo mtu kama wewe kujitokeza hapa na kuwa mstari wa mbele kukanusha habari ambayo wewe mwenyewe huna chochote ukijuacho juu yake.
 
Tatizo lako wewe mtu huwa husome ukaelewa.
We ukiona tu jina langu unakurupuka.

Nimeuliza hapo juu. Km Tanzania imeficha habari ya kuuza KIA kwa hofu ya kuwachafua watanzania Je na OMAN PIA WAMEFICHA kwa kumuogopa nani?

We unajua maana ya Nchi kuingia mkataba na NCHI ingine wa kuendesha vyombo vya usafiri qa ANGA na MAJI? au unadhani hio ni kama biashara ya Korosho za mtwara?

Mikataba ya namna hio ni extremely serious .
Nchi ikifanya mchezo inaweza kumalizika kabisa kwa muda mfupi mno.

Sasa Mkataba serious namna hio Tanzania ifiche na OMAN ufiche ?
leo tuupate kwa mange kimavi na copy ya BRELA?
Come on!
Huenda huna elimu hizi lkn jaribu kufikiri basi kabla hujaandika humu. Unatia aibu mzee mzima.
 
Mkitaka kusema UONGO jaribuni kukumbuka kuwa sasa hivi watanzania wengi wasomi, wajanja, na kule mlikotokea wengine walishapita miaka 30 iliopita.
Mtawapata wale wasio na elimu yyt ya exposure ya dunia ingine zaidi ya JF tu.
Hao ndio hukurupuka kwa kusoma kichwa cha habari tu jarida la nipashe .
Adan alipoingia Bandarini ulisikia habari zake kabla hajaingia hapo?

Hao DPWorld ulisikia habari zao kabla; hadi ilipolazimu kupitisha swala lao Bungeni?

Hivi nyinyi watu mnawaona waTanzania ni wapumbavu?
Jinsi Samia Suluhu Hassan anavyofanya maswala ya nchi hii ni kama maswala ya nyumbani kwake; hili wote tunalijuwa. Alikwenda kujificha Abu Dhabi wiki kadhaa na kuwekwa picha na bendera yetu kwenye jengo refu; huku waTanzania wakiwa hawana taarifa yoyote kuwa anafanya mnada wa bandari yao. Leo hii mnakuja hapa na hizi habari za utetezi zisizokuwa na miguu wala mikono.

Tunaelewa, wengi wenu ni wanufaika wa haya yanayoendelea; ndiyo maana mnakimbilia humu JF kuja kukanusha vitu ambavyo hata ukanushaji wake hauleti taarifa yoyote.

Ngorongoro, wamasai kuhamishiwa Handeni; pia hukumbuki kulivyofanyika bila ya taratibu sahihi kufuatwa?
Yeye Samia anachojuwa; kwa kuwa ndiye mtawala, kila kitu ndani ya taifa hili ni mali yake, anaweza kuamua vyovyote atakavyo yeye.

WaTanzania hatukuzoea hivyo; hizo ni tabia za huko huko mnakochukuwa tamaduni hizi.

Tutaendelea kukataa, na tutavurugana sana.
 
Tatizo lako wewe mtu huwa husome ukaelewa.
We ukiona tu jina langu unakurupuka
Nitaelewa kitu gani toka kwa mtu kama wewe kwa mfano; mtu unayejulikana msimamo wake ni uleule mmoja siku zote?

Hata hivyo, nimekusoma na kuelewa ulicho andika hapo. Unatetea jambo ambalo hata wewe mwenyewe hulijui; sasa huo ni utetezi wa namna gani?

Ndiyo maana tunasema sasa kwamba nyinyi ni kundi mlioandaliwa kuja humu JF kutetea kila jambo linaloletwa kujadiliwa humu dhidi ya hao waliowaandaa.

Tusichokuwa na mashaka nayo tena ni tabia mbaya sana alizonazo Samia Suluhu Hassan.; kufikiri kwamba kwa yeye kuwa mtawala wa nchi hii, anakuwa ndiye mwenye mali za nchi hii, na kuchukua maamuzi atakavyo kama mtawala. Hili hatuna shaka nalo tena; nimetoa mifano hapo juu.

Wewe unapokuja hapa na kutetea usichojua, wewe ni nani?

Hizo takataka nyingine ulizoandika huko chini sihangaiki kupoteza muda kusoma.
 
Back
Top Bottom