Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Mkuu hata ukiwa nje ya nchi…kama ww ulizaliwa na kukulia Tanzania,ni ngumu kusahau ya Tanzania, utajikuta unahisi hapa sio kwetu niko nchi za watu…kuna upweke na kujiona you don’t belong here.
Akifika huko ndio atajua maisha ya ughaibuni yalivo.
 
Mkuu unaongea nini? Haya mkataba wa DP World ni utata mtupu. Na saini zimewekwa kimagumashi na sio mtawala wa Dubai kasaini.
Sasa hebu soma ulicho andika.
Mkataba wa milions of dollars wa miaka zaidi ya 30 iwekwe saini za magumashi?
Kweli unafikiri ulichoandika?
 
Teh teh teh
Yaani we kwa akili yako Samia anachotaka Serikali yoote ifuate.
Impe kilainii ale kwa raha zake.

Basi huyo atakuwa zaidi ya Mfalme SOLOMON AU DAVID.
😂😂
Ina maana hujui kwamba kwa muundo wa katiba yetu rais ni zaidi ya mfalme solomoni?!
 
Mange kimambi ni Motherfuckers kaua careers za watu wengi, kaua Maisha ya watu wengi


Mimi sisapoti ufisadi Ila huyu Malaya anaitwa Mange ni mpumbavu
 
nina mashaka sana kama hawa Oman ndio wanaochochea haya matatizo yetu; kama UAE wanavyofanya Sudan na kwingineko na Qatar nao na sehemu yao huko DRC.

Ni muhimu tuanze kuhoji, tujue hasa ni nani anatuchafua.
KIPI Tutashangaa kuona mgalatia anatilia mashaka Waislamu?

Wewe hata uibiwe mkeo na padri lazima utasema alieiba mke wangu alivaa kanzu.

We unajua KANISA limetufanya nini sisi waafrika? Huna elimu yyt kasi kubwabwaja humu kama mjamzito
Hebu sikiliza wasomi wa Kikristo wanasema nini kuhusu KANISA NA BIASHARA YA UTUMWA. Na KANISA LIMEUA WAZEE WETU WANGAPI KWA KUTUMIA HIO HIO BIBLIA YAKO unayodai takatifu
Paka usie na nidhamu wewe ...
 

Attachments

  • VID-20251216-WA0000.mp4
    23.5 MB
Ulichoandika sio ujanja ni ujinga. Ukikua utaelewa kwanini wenzako wanapinga utawala mbovu.
Utawala mbovu unapiganiwa kwa KUVUNJA MADUKA NA KUIBA MALI ZA WANANCHI?

Km hamfahamu maana ya kupigania utawala sometimes mnachukua japo KAMUSI msome maana ya maneno ya kiswahili manake naona wahutu humu JF wengi sana. Kiswahili kinawapa shida.
 
Ina maana hujui kwamba kwa muundo wa katiba yetu rais ni zaidi ya mfalme solomoni?!
Issue sio katiba.
We unadhani kama kweli KATIBA ya nchi yetu japo ina mapungufu INGEFUATWA NA KUHESHIMIWA KM ILIVYO leo Tungekuwa hapa tunataabika ?
Hakuna kiongozi wa Tanzania anaheshimu Katiba kwa asilimia 100% hata mmoja.
POLISI RUSHWA .
Mahakama RUSHWA
WIZARA ZOTE RUSHWA
Uhuru wa habari UNABANWA.
UFISADI full mkoba.

Kwahio suala la kusema ati Rais Samia Ana kauli ya mwisho serikalini hio HAKUNA HATA SIKU MOJA.
Leo kungekuwa na heshima ya katiba Tanzania Wa kwanza kwenda Jela walikuwa ni hao mafisadi .
Wapili ni hao wachungaji na mapadri wanaokula mabilioni ya pesa kwa mgongo wa KANISA. na huku wakihamasisha kondoo wakavunje na kuiba mali za wananchi
 
Adan alipoingia Bandarini ulisikia habari zake kabla hajaingia hapo?

Hao DPWorld ulisikia habari zao kabla; hadi ilipolazimu kupitisha swala lao Bungeni?

Hivi nyinyi watu mnawaona waTanzania ni wapumbavu?
Jinsi Samia Suluhu Hassan anavyofanya maswala ya nchi hii ni kama maswala ya nyumbani kwake; hili wote tunalijuwa. Alikwenda kujificha Abu Dhabi wiki kadhaa na kuwekwa picha na bendera yetu kwenye jengo refu; huku waTanzania wakiwa hawana taarifa yoyote kuwa anafanya mnada wa bandari yao. Leo hii mnakuja hapa na hizi habari za utetezi zisizokuwa na miguu wala mikono.

Tunaelewa, wengi wenu ni wanufaika wa haya yanayoendelea; ndiyo maana mnakimbilia humu JF kuja kukanusha vitu ambavyo hata ukanushaji wake hauleti taarifa yoyote.

Ngorongoro, wamasai kuhamishiwa Handeni; pia hukumbuki kulivyofanyika bila ya taratibu sahihi kufuatwa?
Yeye Samia anachojuwa; kwa kuwa ndiye mtawala, kila kitu ndani ya taifa hili ni mali yake, anaweza kuamua vyovyote atakavyo yeye.

WaTanzania hatukuzoea hivyo; hizo ni tabia za huko huko mnakochukuwa tamaduni hizi.

Tutaendelea kukataa, na tutavurugana sana.
Labda wewe ndio ulikuwa hujui taarifa za DP world lkn kila hatia ilikuwa naandikwa ktk website ya Khaleej ya Dubai
Tatizo lako kubwa ni kushinda JF na Kusoma magazeti ya mipasho
Google kazi yake sio kutafuta Wanawake tu online au magroup ya kufundisha namna ya kuongeza nguvu za kiume. Google pia inaweza kukusaidia kutafuta habari za maana kama hizi.

Nenda Google kisha tazama website ya DP WORLD ujionee mwenyewe hio kampuni ambayo imeweka bandari mpk za USA inaweza kufanya mikataba kinya kimya na nchi njaa km yetu?
Km hujui vipi unaweza kuipata NAKUWEKEA LINK HAPA. changamoto ni kuwa imendika kiingereza. Sasa hapo jilaumu mwenyewe



Hii kampuni ya kuandika mikataba kwenye vichochoro vya Dodoma?
Ili wewe na kina lissu msijue?

Nyie binaadamu wengine mpa hapa kumaliza oxygen tu. Hamna faida yyt.
 
Details za mkataba zinatoka kwa Mange kwa saab pande zote mbili zinataka mkataba ufichwe.

Serikali ikitaka siri inawezakumwambia jambazi mwenzie ambae wamemuuzia nchi kwamba LETS KEEP THIS SHIT OFF THE RADAR !!!!! Kwa madai na vigezo vya BUSINESS SECRETS.

Na si kweli
kwamba mwekezaji anataka uwazi.
Wawekezaji hushinikiza mkataba uwe "siri ya biashara."

Muwekezaji hawezi hata siku moja kutaka details za mkataba zianikwe.

Hata wewe ungeshinda tenda ya serikali ungetaka details zianikwe? Vipi kama ume bid kulipwa hela kubwa zaidi na huna qualifications kushinda wenzio na umepewa kimchongo ? Uanike mkataba ili iweje ??

Ndo maana mkataba wa mauzo ya bandari ulivujishwa na Watanzania. Sio Waarabu.

Especially mikataba contoversial. Ya kuuza njia kuu za uchumi.

DETAILS ZA MKATABA WA MCHONGO KWA NINI EITHER PARTY (YEYOTE KATI YAO) ATAKE ZIANIKWE ?????
Tatizo lako unafananisha mikataba ya tenda za kuuza mashati ya shule au ujenzi wa brbr za mtwara na Tenda km hii ya kuendesha bandari.

DP WORLD ni multi billion company yenye share holders kila kona ya dunia. Unajua sheria za International company with share holders when it comes to investment?

Acheni ligi zisizo na mashiko Ukitaka kujua habari zote za kampuni yyt ya kimataifa SOMENI KTK WEBSITE ZA KAMPUNI HIO. SIo kuja kutafuta habari hizo JF au Kaa Tundu lissu
 
Labda wewe ndio ulikuwa hujui taarifa za DP world lkn kila hatia ilikuwa naandikwa ktk website ya Khaleej ya Dubai
Tatizo lako kubwa ni kushinda JF na Kusoma magazeti ya mipasho
Google kazi yake sio kutafuta Wanawake tu online au magroup ya kufundisha namna ya kuongeza nguvu za kiume. Google pia inaweza kukusaidia kutafuta habari za maana kama hizi.

Nenda Google kisha tazama website ya DP WORLD ujionee mwenyewe hio kampuni ambayo imeweka bandari mpk za USA inaweza kufanya mikataba kinya kimya na nchi njaa km yetu?
Km hujui vipi unaweza kuipata NAKUWEKEA LINK HAPA. changamoto ni kuwa imendika kiingereza. Sasa hapo jilaumu mwenyewe



Hii kampuni ya kuandika mikataba kwenye vichochoro vya Dodoma?
Ili wewe na kina lissu msijue?

Nyie binaadamu wengine mpa hapa kumaliza oxygen tu. Hamna faida yyt.

lkn kwenye website ya dpworld hakuna neno tanzania, nimepekua na kutafuta investments zao duniani sijaona tanzania ikitajwa, kuna senegal, rwanda, mozambique, angola, somaliland, egypt, algeria na nchi nyinginezo lkn hakuna neno tanzania, tena wameandika 60 ports and terminals worldwide lkn no tanzania, why? kama ni kweli bandari yetu ni official dpworld investment? …
 
Sasa hebu soma ulicho andika.
Mkataba wa milions of dollars wa miaka zaidi ya 30 iwekwe saini za magumashi?
Kweli unafikiri ulichoandika?
Kwamba ndio mkataba wa kwanza hilo kufanyika? Unakumbuka ile mikataba ya siri aliyosaini Karamagi Hotelini? Unakumbuka ripoti ya Makinikia ya Prof.Ossoro ilisema nini kwenye mikataba ya madini? Lipi jipya kwenye hili?

Unajua siku Magufuli anaambiwa kuhusu kwanini umeme wa maju na sio gas? Alijibu kww sauti ya chini kuwa gas sio yetu, imeshaingiwa mikataba ya kihuni, na hao wahuni waliouza gas, ndio hao hao waliosaini huu wa bandari. Niendelee ama umetosheka na mifano halisi?
 
Majizi yanavyosema mlinde amani yanamaanisha muwe wapuuzi wa kutohoji vitu kama hivyo ili yazidi kujipimia kwa urefu wa kamba zao.
Endelea kuhoji miaka inaenda uzee unakribia ukija kushtuka uko kibarazani unasubiria kubebwa kuingizwa ndani
 
Ukifanya unawahoji wanakupiga risasi...
Waliopigwa risasi walikua wahalifu na wasio wahalifu kwa kuchochea kuichoma nchi yao , kuvunja na kuiba maduka ya wapambanaji tena vijana akina billnas na shishi na wengine wengi tu kisa wameambiwa Wadai haki, huku wanaowaambia wako ulaya wakipokea mlungula wa ford foundation zaidi ya mabilioni
 
Endelea kuhoji miaka inaenda uzee unakribia ukija kushtuka uko kibarazani unasubiria kubebwa kuingizwa ndani
Chawa kwa uwezo wako kiakili huwezi kuelewa hapo nilichoandika , akili zako hazina tofauti na jopo la wataalam na nchi yenye vyanzo vingi vya maji katika nchi kumi bara la Africa halafu mji mkubwa wa kibiashara hakuna maji sababu mvua hazijanyesha.
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
TUKIWAAMBIA VIONGOZI WAISLAMU NDIYO WANAO TUHALIBIA TAIFA NA KUUZA NCHI MNABISHA ...KUNA UMUHIMU AZIMIO LA ARUSHA LITUDISHWE NCHINI TUANZE UPYA

View: https://www.instagram.com/reel/DSP-9QQCKQn/?igsh=MTZzdWYyaGMzODdlZQ==
 
Back
Top Bottom