Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
Duuuuh
 
Hii nchi itakombolewa pale wananchi watakapokua na kili timamu na kuanza kupanga mikakati ya kuingia msituni sio mikakati ya maandamano sababu imedhihirika maandamano hayawezi kuleta mabadiliko tanzania hivyo mtutu wa bunduki ndio unafaa hao watu wakishasikia Kuna wananchi wanapanga kuingia msituni wataumwa tumbo la kuhara mara Moja sababu wanajua hata wao hawapo salama uhai wao
 
Teh teh teh
Yaani OMAN ambayo ina uwezo wa kununua hii nchi yetu CASH MONEY leo ishirikiane kuficha uwekezaji halali wa kiwanja kidogo km KIA ILI Mama Samia apate KUIBA! 😂😂🤣

Ndio nikasema Hata km huna elimu ya uwekezaji na ushirikianino wa kimataifa jaribu kishirikisha ubongo kabla ya kujaza pumba humu.

We kwa akili yako oman yenye uchumi wa mafuta na uwekezaji mpk Uingereza na mataifa mengi ya ulaya na ISA na wenye RAIA wao wasiozidi milioni 3 wana shida ya kuficha ujinga huu mnaoleta humu?
We kweli fahamu zako ziko sawa?
Katika dunia ya kwanza Oman bado ni nchi masikini tu kuhusu makampuni ulaya hata nchi masikini wanayo
 
Hii nchi itakombolewa pale wananchi watakapo Anza kupanga mikakati ya kuingia msituni sio mikakati ya maandamano hao watu wakishasikia Kuna wananchi wanapanga kuingia msituni wataumwa tumbo la kuhara mara Moja sababu wanajua hata wao hawapo salama uhai wao
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi Hawa Maprofesa wetu Akina Lipumba Wana faida Gani kwa taifa?
Kama hawawezi hata kumchunga hata mbuzi mmoja wa Taifa:
Yaani hata nchi ikiamua imfuge paka mmoja tu inabidi aje Muwekezaji rangi nyeupe:
Kwani hao weupe wanasoma nini ?

Hii ni fedheha kubwa sana kwa viongozi na wasomi wetu
 
Bado mijitu ina fikra za kijinga tu za kutaka amani bila haki. Kazi kukusanya watu na kuwalisha ubwabwa na kuwavalisha sare kama rangi ya maalizeti na kuwajaza ujinga. Yakikusanyika kwenye mikutano ni kama shamba la Alizeti. Niko allergic na mavyama yaliyozeeka na ya marangi rangi ya ovyo
Amani bila HAKI haiwezekani kabisa - or else tukubali Tanganyika yote ni Mbuga za Wanyama ili #Zanzbar ipate kututafuna;
 
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.

Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.

Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.

Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.

View attachment 3515645
Huyo dada wa huko California baada ya ule ujinga wa tarehe 29 October wengi wetu tumemjua vizuri na kwa ukaribu kichwa chake kinafanya kazi vipi.

Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu anaelewa kwamba Bandari haijauzwa kwa mtu yoyote imekodishwa kwa DP World sawa na ambavyo TICTS ilikodishwa kwa miaka 30 na baadae serikali ikaichukua bandari yake baada ya TICTS kushindwa kutimiza baadhi ya vigezo vya mikataba.

Unapotengeneza fitina za mitandaoni madhara yake huwakuta wanaohusika na wasiohusika, taharuki ya moja kwa moja huikuta jamii nzima. Huyo dada hawezi kuelewa ubaya wa anachokifanya kwa sababu yeye yupo huko USA.
 
Useless kabisa, wazee wako walikufa wakipigania nchi yao ili wewe uwe huru, kwanini wewe usipiganie rasilimali za nchi yako ili watoto wako wazikute.
Wazee walizingua Bora wange tuacha Kwa mkoloni tu , mkoloni alikuwa ana provide Kila kitu , So tofauti ya serikali ya mboga mboga na mkoloni ni ipi Sasa !?
 
Hii nchi itakombolewa pale wananchi watakapokua na kili timamu na kuanza kupanga mikakati ya kuingia msituni sio mikakati ya maandamano sababu imedhihirika maandamano hayawezi kuleta mabadiliko tanzania hivyo mtutu wa bunduki ndio unafaa hao watu wakishasikia Kuna wananchi wanapanga kuingia msituni wataumwa tumbo la kuhara mara Moja sababu wanajua hata wao hawapo salama uhai wao
Kwa yaliyo tokea tangu uchaguzi, utasikia tu huko mbeleni, wakina boko haram, al_shabab, isis na wenziwe wamezaliwa Tanzania
 
Back
Top Bottom