Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Hizi pimbi viazi zipangeni vizuri kwenye bench

Zipangeni vizuri hizi pimbi ubwabwa nazi viazi pumpkin heads

Km wee pimbi ni mdini kweli nenda
 
Nitachotaka kuwaambia - Hakuna baya litakalowakuta au kumkuta yeyote ,

Huu utapeli wenu, mmeshakula pesa za kina Dully ,

Pumbavu zenu
Mara Albadiru na yule anakuja na Qunut na zote hazifanyi kazi zaidi ya kunuka ushuzi tu hakuna kitu ni upuuzi..
 
Hadi wanawachinjia kondoo jamaniii
Hakuna kitu hapo zaidi zaidi wao wenyewe ndio wataokufa kabla ya huyo wanaemchinjia kondoo yaan wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.. achana kabisa na hayo maigizo ya uongo eti albadiru sijui huyu anasema Qunut ni upuuzi wa mazingaombwe msitishike na hizo cinema zao wao sio waumbaji
 
Mbona hii ni kama wamem-copy Mwaposa na ni kama Gwajima aliyechangamka hivi... Albdadri gani hiyo iliyokaa kikristo hivyo?
 
Elimu elimu elimu,

Waarabu wa Maka na Saudia na Madina walishaacha haya mauchafu enzi na enzi kwa sasa wanakula dola tu kutoka kwa watalii wanaoitwa mahujaji sisi ngiri bado tunakaanga viwembe, pini, misumari, chumvi, ubani, na na kuchinja kondoo na kukaanga na pililipili kulilia mtu aliyepo Los Angeles adhurike!

Kweli common sense is not common, hata kama huyu maulana/mungu/ala yupo basi atakuwa ngiri asiyejua logic wala kufanya critical analysis na kuchagua course of action

Na pia kama atasikiliza huu upumbavu wa kumwaga damu ya kondoo mmoja unaofanywa na wanaojipendekeza kwa samuya, halafu aache kusikiliza damu za binadamu karibu elfu 10 zilizomwagwa oktoba 29-30, itabdi waungwana wajiulize sana huyo bwana ala ana IQ kiasi gani! Hiyo ndio albaduri yenye nguvu sio takataka hii ya kupotezea watu muda wa kujadili mambo ya maisha yao!

Kweli kuwa mweusi ni hasara sana, yani tupo mwaka 2025 tangu miaka ianze kuhesabiwa hatuna mchango wowote wa maana kwa maendeleo ya dunia!

Na tunazidi kuwa useless deile yani hamna matumaini hata miaka 100 ingine ijayo mtu mweusi atafanya cha maana zaidi ya juju wakati bado tunasubiri na kuombea mambo yatokee kwa miujiza huku shitholeni! Wenzetu wanayaumba kuanzia ndotoni hadi yanafanyika na binadamu wengine wananufaika kupewa nyenzo

Pathetic
 
Kukosa akili huko.
Mona ya masheikh nilikua nawaona timamu ni sheikh Kishk. Lakini alipoingia mkenge kwenye lile suala la afande sele, hapo ndio nilipomuona Hana akili

Kama afande sele kamtukana Allah, basi ataadhibiwa na Allah kwa muda wake. Lakini Kishk kwa kukosa akili akaitisha dua ya kumuombea kifo afande sele, akaapa ndani ya siku 7 majibu yatatoka. Toka 2021 hadi leo 2025 hakuna lolote lilompata

Mungu huwa hapangiwi kutoa adhabu. Hiki ndio sheikh Kishk alikisahau. Huenda siju ile ile Mungu alimsamehe afande sele
 
Eti nini albadiru?
 
Ndugu hao watu ukiwaambia habari za ufisadi unaofanywa na familia za watawala, wanakwambia hizo ni husda...

....wao wanaamini kiongozi kujineemesha kwa njia za ufisadi ni privilege wala sio kosa.

Na hata hiyo Abadir hapo inasomwa kwa maslahi ya viongozi mafisadi hili waendelee kuitafuna nchi bila kubugudhiwa na hao akina Mange...

...inasikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…