Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Iyo albadir mbona itawaludia wao matapeli wakubwa hao
 
Masheikh ubwabwa hao. Hakuna kitu hapo. Wameshapewa fedha za kuongeza wanawake wengine kwa hiyo kilichobaki ni kujipendekeza kwa Abdul na samuya
 
Najua
Ila sikuiz umekuwa mpumbavu tangu tukujue
Nadhani ni uhalisia wako.
Shehe ubwabwa na albadir yake kwa Mange ilimrudia yeye mwenyewe. Usheikh mkuu wa mkoa katemeshwa, kabizi ofisi hataki, mara vyoyozi vya ofisini kaviyeyusha
 
Hiyo dua itamrudia huyu aliyeua hao vijana wetu!! As long as she is till breathing maana yake haifanyi kazi!!


Mungu hafanyi Kazi hivyo kwa masharti ISIPOLINDA UHAI WAKO HAKUNA WA KUULINDA
 
Katika kitu wazungu na waarabu walitumaliza kabisa watu weusi ni hii hypnosis ya milele
 
😂😂😂😂💔
 
Hamna kitu hapo...
 
Alone Mzee wa UHARO Ritz
Alone Mzee wa UHARO Ritz na Hawara zake Adiosamigo
 
MANGE , MARIA SARUNGI na wanaharakati wengine ni wazima wa afya kabisa
 
Wamesahau jina langu.....
 
Huu ni utapeli wanataka kupiga kodi za Watanganyika.
 
Huyo Sheikh hana moral authority ya kusoma dua hiyo kwa sababu yeye mwenye ni shoga anaingiliwa kinyume cha maumbile Mungu hawezi kusikia dua ya shoga hata siku moja, ni sababu hii hii dua kama hiyo aliyosoma aliyekuwa Shieikh wa mkoa wa Dar es Salaam ilidunda na ikamrudia mwenyewe akafurushwa kwenye nafasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…