Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

Nimecheka kinoma, yaani hii na sisi wa humu JF tumo. What do they really teach them kwenye hizi dini mpaka watu wanafikia kiwango hiki cha upumbavu, na waha wendawazimu ndiyo mtaji wa CCM.
To make more hilarious ni hiyo list ya watu wanaowaombea, na hayo mazwazwa yanayomsikiliza huyo zwazwa mwenzao hapo yanaamini kabisa kwamba kuna kitu real kinafanyika.
 
Hawa Albadiri vyoyote inatoa haki ,na inaweza kuwarudia, yani msomee mtu albadiri kwamba mtu yule kaniibia wakati hajakuibia je itampata?

Hawa ndugu wa sasa katika imani hii nina wasiwasi nao wanalazimisha kupata pesa kwa nguvu sana.
 
uzuri wa albadir ukiisoma kimakosa inakurudia kwa mujibu wa wanaoamini, halafu Mange sio mara ya kwanza kusomewa albadir.
 
Albadiri Ingekuwa inafanya kazi waarabu wangemsomea George Bush awe kichaa maana aliwapiga
 
Albadir ikiwa ya Kiswahili au kilugha haina nguvu. Ni lazima iwe ya kiarabu. mungu wao hajui kiswahili. Hao wezi tu na wapigaji
 
Hawa jamaa dini yao inatoa waganga wazuri sana, sema sasa sometime wanautumia uganga vibaya, hata wachawi wengi wanatoka upande huo
 
Dini Imeleta matatizo makubwa sana Africa.
 
Aisee!! Ngoja tuone..
 
Waislamu wameleta Uhuru wa nchi kasome historia
Uhuru gani wewe nakuuliza wameleta hao Waislam mbona hujawahi kunijibu hili swali kila nikikuuliza unaingilia huku unatokea kule?

Uhuru gani fafanua!
 
Hakuna dua hapo ujanja ujanja tu wamekula wameshiba wakakosa cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…