Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

GUSSIE, Mbona yule akiwa ziarani anaongea kisukuma
Mbona Sahv kama Ile Kanda ya z inapewa kipaumbele sana
Kwa mwafrika mtu kuvuta kwake ni kawaida
Hakuna cha wahaya, wachaga, wajaluo, wanyakyusa
Labda watu wa pwani ndy wako neutral

Ova
 
Makonda ni Mchagga,Mabeo ni mchagga,Mnyeti ni Mchagga...yaani wanapeana vyeo tu
Ulio wataja, makonda, mabeyo, mnyeti hawapo idara moja, nitofauti na dhamani kipindi cha mkwere ukienda TRA, kamishina, afisa elim ya mlipa kodi mchaga, afisa utawala mchaga,Afisa mipango chaga, mnatakiwa mkila na kipofu msimshike mkono tatizo lawachaga hawajui kula na kipofu
 
Kama ni kufuta, vifutwe vyote vya nchi nzima! Kuanzia cha wana Chato n.k

La sivyo iyakuwa ni upandaji wa mbegu ya ubaguzi wa kikabila waziwazi!! Na mavuno yake kuna siku yataonekana....

Hawa viongozi wasio na akili wametufikisha mahali pabaya sana!
Soma vizur umejulishwa week chache zilizopita alikifuta cha watu wa mkoa wa Mara.
 
Wachaga walikuwa wanajiona supper power kipindi makabila mengine hayajapata exposure.

Sasa hivi kila Kabila lime chamgamka fursa za biashara, ajira za kisomi nk kila Kabila linafanya. Sasa hawa wachaga wanapata tabu kweli wanaona wanaonewa.
Acha wivu.... Mchaga ni mtu anayependa maendeleo kama yeye anajenga rombo
Wewe Kuna mtu kakutaza kujenga kwenu mpinjilinji

Ova
 
Miongozo ilikuwepo lakini Wachaga walikuwa hawajali wakipewa nafasi wanasombana wanapeana ajira,fursa,vyeo ,tenda nk bila hofu Wala kujali chochote .Safari hii miongozo inazingatiwa ndio maana wanapiga yowe Sana walizoea short cut za kikabila
Wachagga ni 'hard workers', hawakati tamaa wala sio washirika wa vijiwe ambavyo havina faida. Take it from me, serikali imeajiri watanzania wasiozidi laki nane kwenye mfumo rasmi wa ajira. Private sector ndio mwajiri mkuu wa Watanzania (takwimu zipo). Fanya utafiti kuhusu watanzania walioajiriwa ktk taasisi na biashara zisizo rasmi kama vile bar, usafirishaji e.g (daladala) n.k uone Wachagga wanachangia Kwa asilimia ngapi. Je wakichukua hatua kama za RC Mnyeti tutafika? Aliyekutangulia mpishe au uombe akupe siri ya mafanikio yake. RC huko unakoelekeza mawazo yako sio sahihi. Leo atazuia vikundi vya kusaidiana ktk maswala ya kijamii, kesho atavamia umoja wa wamiliki wa daladala, wasafirishaji, wamiliki wa mahoteli na makampuni ya tours, n.k mwisho atagundua kuwa wachagga wanachangia kwa asilimia kubwa kwenye private sector employment. Mnyeti hauko sahihi ktk hili. Utakwama sana, MBONA HIVI VIKUNDI VIMEENEA NCHI NZIMA NA VINA NGUVU ALTHOUGH HAVINA MADHARA YOYOTE KISIASA. Mnyeti hauko sahihi, Biblia Takatifu inasema hivi, "ATAKAYEIBARIKI ISRAELI ATABARIKIWA" Nami nakuambia hivi, "Atakayewabariki Wacha*** atabarikiwa". If you can't fight them, join them. YEHODAYA karibu sana ili nawe ubarikiwe.
 
Umoja kama umoja hauna shida bali madhumuni ya umoja huo ndiyo shida. Umoja ukiwa na madhumuni ya kubebana kwenye shughuli za kiserikali kama ajira hapo umoja unakosa mantiki inakuwa ubaguzi.
Umoja lazima uwe na madhara, mfano kuwe na umoja wa watu wa kanda ya ziwa alafu mwenyekiti hawe makonda alafu jwtz limetangaza nafas za ajira unadhani makonda si hata mpelekea mjina ya vijana wa umoja wa kanda yake, mkuu wa majeshi na wata ajiriwa wote hata kama awana sifa.
 
Hujaishi bado wewe! Mjaluo kamwe hamsaidii asiye mjaluo!! Mkurya ni ngumu sana kumsaidia asiye mkurya, mchaga,mpare,mmeru,muarusha,mmaasai,msambaa na mmbulu wanaishi kwa umoja kama jamii moja toka enzi na enzi,babati ni eneo linalokaliwa kwa kiasi kikubwa na wambulu,wamaasai,wachaga,waman'gati,kwa kiasi kikubwa,na hapajawahi kuwa na malalamiko ya ukabila au ubaguzi, leo tuko hapa tunajadili uchagga na ukabila usiokuwepo kwa kulazimishwa na wapenda madaraka,hatari hii
Hapo umenena!
Kuna msambaa mmoja Ana duka la hardware
99% aliowajiri ni wasambaa ukifika hpo ni kilugha tu mzese blh Blh
Majina ni mandia, mtoi mdoe etc yanaitwa
Hpo utasema watu wako mazinde kmbe dar

Ova
 
Leo msukuma yupo chato kaenda kujenga hospitali kwao kwa pesa ya serikali,mchaga yupo kwenye kikao na wachagga wenzake wanajadili namna ya kujenga chumba kimoja cha wodi ya wazazi huko kwao kwa kujichanga wenyewe,bado roho zinawauma!! Je wangekuwa wanatumia kodi za wananchi kama hawa wengine ingekuaje?
Mbona wasukuma wanaongea lugha yao tena hadharani...

Ova
 
Wagogo Wana kikundi Chao dar..... Na mikutano wanafanya
Wasamba hivyo hivyo

Ova
 
Kuna mtu amewabughudhi?
Hapo umenena!
Kuna msambaa mmoja Ana duka la hardware
99% aliowajiri ni wasambaa ukifika hpo ni kilugha tu mzese blh Blh
Majina ni mandia, mtoi mdoe etc yanaitwa
Hpo utasema watu wako mazinde kmbe dar

Ova
 
Vyanzo vya umimi na ukabila..
Hata Somalia walianza mambo kama hyao huu ukooo wa fulani ule ukoo wa jirani..
 
Hawa watu wenye chembe za kikabila wanafaa kupigwa risasi hadharani ili wakomee,maana hawasikiii...
 
Kama nani? Pia tujuze hawasitahiri?
Hulka ya mwafrika kila mtu atalivuta kabil lake
Hiyo mm sishangai
We hujiulizi kwann Kuna maeneo dar yamejaa watu wa kabila moja Ukienda gongolmboto on sehemu wameja a wagogo hko no mbukwenyi mbukwa
Ukienda tegeta nyaishoz wmejaa wahaya walivutana
Kimara wachaga wlipawahi
Nenda mkurunga mwalusembe Kuna sehemu wameja a wasukuma hko watu wanaitana Mami, asubuhi sjui mwngaluka... Kinei blh blh
Nenda kko kna sehemu wameja a watu wa kigoma
Bado sijawagusa wanyakyusa unakumbka yule MD wa Bima smbdy mwaikambo mbn Bima walijaa wanyakyusa
Tukirudi kwenu vikundi wao wanasaidiana kwenye sherehe na msiba tu

Syo wachaga tu wnye umoja wao
Wagogo, wasambaa etc wote wana vikundi vyao

Ova
 
Back
Top Bottom