Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Hivi watu kujiunga kua vikundi vya vya kusaidiana mfano watu Mwanza,Kagera,Iringa nayo ni shida? Yaani elimu ya kikoloni kweli imetuharibu akili zetu kabisa...Alafu nashangaa mtu anasema eti ukabila sio mzuri..hivi hamtofautishi Umoja wa Kabila na Ukabila?
Kweli wakoloni bado wapo Afrika. Kwanza watu wa kabila flani kuwa na Umoja wao ni njia moja wapo ya kulinda utamaduni wao.
Mwisho..Tanzania ni moja ya Nchi zilizo weka saini kwenye Uhuru wa Kushiriki na kuenzi utamaduni wao( 1992) Social and Cultural Rights) . Kwanini tulazimishe watu kuacha utamaduni wao...basi itafika ata tuwakataze wasai kuvaa na kuonyesha tamaduni zao kwakua nao itakuja tasfiri ya ukabila.
Kutoka jalalani
NOTE:mods naomba leo msifute comment yangu kama ilivyozoeleka
 
Ule umoja wa watanzania pale Washington na London nao ufutwe tu kama vipi..

Ni vyema pia tukafuta umoja wa wayemeni, waingereza, warusi nk na Balozi zote zisiwepo maana uwepo wa mabalozi ndio chanzo cha uwepo wa hivyo vikundi..
Sisi niwatanzania, tunapambana kutokomeza ukabila sio u Tanzania.
 
Hii ni point ya Muhimu sana. Mimi nlikataa UDSM kujiunga na Umoja kama huo.walinishangaa. nikaenda mkoa flani nikaukuta jamaa mmoja kazini alipogundua mimi ni kabila hilo akanipeleka siku moja kwenye meeting kama surprise akanambia "huku ndo ndugu zako tunakutana" toka siku ile hakuniona tena kwenye meeting.

Mimi nalipenda Kabila langu na nalitaja popote napoulizwa.ila sibagui au sipendi ukabila.mama yangu ni kabila lingine na baba yangu. Nmeoa kabila lingine.sijawahi msaidia mtu sababu ya kabila au dini yake.mimi NI MBINADAMU Kwanza na halafu NAPENDA UBINADAMU.
Sasa apo kua na Umoja wa kabila lenu kuna hasara gani mkuu?
 
hapa sitaki kuchangia kwa sababu hatujaona katiba za vikundi hivyo,
 
Yaani community ya wachagga ikiguswa yeleeewiii kila mtu atakua, hivi kwani mtu akifa si atazikwa tu, Kuna haja ya kuwa na vyama?
 
Mkuu umoja huu una msaada sana sitasahau kipindi flani nilipata matatizo nikiwa mkoa flani nikaja kusaidiwa na Umoja Wa watu wanaoishi ule mkoa....tuchukulie vitu positively wazee sio kila kitu tunawaza mabaya tu
Yawezekana kweli lakini ni mmoja Kati ya mia
 
Kila nisomapo mawazo na maamuzi ya aina hii humkumbuka Masaburi(Mungu amrehemu). Akili na busara vimekuwa bidhaa adimu sana kwa "wateule".
 
Na Wahaya Wanyakyusa Wakurya hawa mbona ni zaidi ya wachagga
Mwl Nyerere fufuka utupe somo la ukabila na ubaguzi upyaaaaa watu kama wamesahau vile
Wazungu wanaendelea kwa sababu hawana makabila wana UTaifa
Unaelewa hao wazungu wewe? Unajua mfano Uingereza ina makabila au hamna? Usitake tuwaige mabeberu...
 
Hii ni point ya Muhimu sana. Mimi nlikataa UDSM kujiunga na Umoja kama huo.walinishangaa. nikaenda mkoa flani nikaukuta jamaa mmoja kazini alipogundua mimi ni kabila hilo akanipeleka siku moja kwenye meeting kama surprise akanambia "huku ndo ndugu zako tunakutana" toka siku ile hakuniona tena kwenye meeting.

Mimi nalipenda Kabila langu na nalitaja popote napoulizwa.ila sibagui au sipendi ukabila.mama yangu ni kabila lingine na baba yangu. Nmeoa kabila lingine.sijawahi msaidia mtu sababu ya kabila au dini yake.mimi NI MBINADAMU Kwanza na halafu NAPENDA UBINADAMU.

Asante kwa comment yako, Iko very matured,
 
Mawazo mfu nyie ndio maana huko kwenu mpo maskini hadi Léo,umoja ni nguvu wachaga wana umoja kama siafu ndio maana watazidi kuwa na maendeleo hadi kiama,cheki Kijijini singa Kibosho kulivyo utadhani AmsterdamView attachment 1283682

Usijidanganye ndugu, Hilo kanisa la mkoloni ndio nini mkuu? Nimefika hadi huku migombani kote ni Ulimwengu wa Tatu tu,
Kwa ufupi, Tanzania yote makabila yote ni Average third world, plus or Minus,
 
Basi kama unakaa uzunguni na huoni ushirikiano wa aina yoyote kutoka kwa jirani zako ujue hushirikishwi kwa kuwa wewe si mzungu,au kwa vile wamekuona tu ulivyo mpumbavu wakaamua kukupotezea.
Mimi nakaa uzunguni hakuna mambo hayo kila mtu na budget yake!
 
Huu mtindo wa vikundi vya kikabila huanzia huko kwenye shule za boarding,hususan za serikali, ikifika mwisho wa mwaka au kumaliza shule,kila kabila hufanya sherehe yake.
Pia kila dhehebu hufanya sherehe yake.
Na waalimu huwa wanakuwa wageni rasmi.
Nilikerwa sana kwa mtindo huo nilipokuwa boarding school na sikuwahi kuhudhuria sherehe yoyote yenye viashiria vya social segregation.
Ni kinyume kabisa cha utashi wa kujenga umoja katika Taifa letu.
 
Bishweko, Kwani wazungu wao hawana makabila? Mbona sijawai kusikia wana umoja wao mfano, umoja wa watu wanatoka Manchester city?
 
lakini RC ameruhusu vikundi vya makabila ya mkoa wake , hilo unalichukuliaje ?

Lets not get too emotional, Nilivyoelewa ni kama alimaanisha Vikundi hivi vikiwepo vijumuishe na watu wa makabila hayo tajwa. But in this modern world nadhani we need to get out of this, mimi sio mchaga ila marafiki ninaoshirikiana nao wengi ni wachaga and It works better,
Ukiangalia mambo kwa mtazamo wa kikabila unakuwa emotional na huwezi fikiria uhalisia wa Mambo
 
YEHODAYA, Acha upumbavu we dogo,hata wachagga tukiteketea katika hii dunia haimaniishi ww ndio utanufaika zaidi ya wenzako.Jiulize leo unawachukia wachaga,wakipotea kesho utaamiaa wap???
 
Back
Top Bottom