Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
Hapa Dodoma ndo kwanza Kesho jumamos tunakutana kuchagua uongozi wa chama chetu, mimi nikiwania nafasi ya uenyekiti, Shirima akiwania ukatibu, Massawe uweka hazina, Manka mwenyekiti msaidizi, huu uchaguzi utafanyikia pale Rose Garden, kisha viongozi watakaoshinda watapongezwa pale Pestana mida flani ya jioni.
Sasa tumsikie "Mume wa mzungu" akitupiga marufuku aone
Sasa tumsikie "Mume wa mzungu" akitupiga marufuku aone