Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Wachaga mtatuona hivi hivi hivyo vishindo venu nivya muda tuu. Basi njoni muamishe na mlima kilimanjaro muupeleke chato basi
 
Basi tuunganisheni basi kwenye kundi la mabeberu tujue moja.
 
Kwa wanaofahamu vizuri hii historia; hivi vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Nigeria na kujitenga kwa jimbo la Biafra vilianzaje? Kwanini Tanzania ilichagua kusimama na Biafra kwenye vita hivyo?
 
Sahihi alivyofanya Mchungaji.Mijitu mingine mijinga mijinga inashadidia upuuzi kama huo wa vikundi vya kikabila kwa sababu hawajui madhara yake.

Vipigwe marufuku nchi nzima.

Mzaha mzaha baadae vinakuwa vyama vya siasa vya kikabila.

Siwapotoshi.@YEHODAYA,
 
Kinacho nishangaza sisi wachagga wala hatuna time na makabila ya watu na sijaona yetu maendeleo. Shida ni kuwa wote mnao wachukia wachagga huku milikuwa bize kuunga azimio la Arusha kwa kutembea kwa miguu kuja kumpngeza nyerere wakati sisi tuliunga mkono kwa kuimarisha vyama vya ushirika na kufanya kazi kwa bidii manake wengi tunaamini katika kazi. Na kazi tunapiga popote.
Bakini na majungu yenu sisi hapa tunapiga kazi watoto waende shule tusijekuwa na kizazi cha mambumbumbu
Fanyeni kazi jamani uvivu ni hatari
 
chezea Wachaga ila mtapata majibu. Tumefika patamu Wachaga waandamane kupinga ubaguz wa wazi wazi dhidi ya uwepo wetu maana tunapoelekea watatutoa roho kama Hitlar kwa Israel

Nadhani kitu kama hiki kilitokea miaka ya 1960 nchini Nigeria kuwaengua Waibo! Ubaguzi you ulipelekea jimbo la Biafra ambapo ndiyo asilia ya Waibo lilijitenga kutoka shirikishi la Nigeria. Vita vikazuka. Nyerere aliunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga!
 
Madhani bado kidogo tu itatilewa amri ya kuwacharanga mapanga wachagga popote watatakapoonekana nje ya kilimanjaro!! Wachagga mnapaswa kuwa na umoja wakati huu kuliko wakati mwingine wowote,na Mungu awape ulinzi wa pekee
kipindi hiki,na mufanye ibada maalum kwa ajili ya maisha yenu maana dalili na ishara
zinatia mashaka mno,Mungu awalinde sana.
Kutokana na haya yanayoendelea , kuna wengine wameanza kuwa na mashaka na hata hii treni iliyoanza , Idd Amin alikusanya viwete akawatupilia mbali .
 
Hivi vyama viliumiza saana watu na kuwapaisha wengine, mfano ni ilivyokuwa ktk benki yetu pendwa na sehemu zingine
 
Hizi ni kauli za kibaguzi kabisa hazikutakiwa kusemwa na mtu kama mkuu wa mkoa siyo wachaga tu makabila mengi yanayoishi hapa Manyara ambao siyo wazawa wana vyama vyao vya kufa na kuzikana kwa hiyo vyote hivi vimepigwa marufuku?
 
Kuigwa kivipi wakati kasema viundwe vya watu wapale, wamasai , wairaq na wengine!

Mbona wasukuma huku Chunya wamejaa na wanaongea lugha hao tu
Hao hawaonekani ehe GUSSIE,
 
Angali RC Beware RC Usije leta Yaliyotokea South Africa hapa Tanzania.
 
YEHODAYA, We kiazi Muongo mkubwa ww Maza fanta
Huna adabu unasema uongo mweupe kabsaa Halafu ni mtu mzima ovyo shenzi kabsaa
 
Maofisini vyeo na ajira hupeana wait kwa wait kwa kupendeleana na fursa nzuri hupeana wao kwa wao,michango ya harusi na misiba wao hupeana nyingi wengine hutoa kiduchu

Tenda pia hugawiana wenyewe na Mitandao yao ya kikabila
Wewe Shabiki uliyejaa Chuki Kwa Wachaga, Angalia msije Mkapelekea Tanzania ikwa kama South Africa. Kumbuka Wahamiaji na Watafuta Maisha walivyofanyiwa huko Sauz. Hii ni Chuki inaanza kupandwa mara utasikia watu wa Kaskazini waondoke Kusini, mashariki na kwingineko. Mmeikuta Tanzania yenye Amani na fursa Kwa wote popote pale. Leo mnawapiga Marufuku huku na kule . What next kama Siyo ya Sauzi!!
 
Mkuu umoja huu una msaada sana sitasahau kipindi flani nilipata matatizo nikiwa mkoa flani nikaja kusaidiwa na Umoja Wa watu wanaoishi ule mkoa....tuchukulie vitu positively wazee sio kila kitu tunawaza mabaya tu
Nifahamuvyo mimi vyama hivi huwa vinajishughulisha sana kusaidiana katika misiba. Havina madhara yoyoye. Hata hivyo ni vigumu kudhibiti vyama hivi. Havina ofisi na kama wanakutana wanafanya hivyo sehemu ya tukio. Sasa uyawazuia vipi wasikitane?
 
nipo w
Wanakuwa wabinafsi. Madhara yake kupeana fursa hasa pale mtu wa kabila husika anapokuwa nafasi ya juu, kupuuzia shughuli za watu wa kabila wengine sababu ye anajua ana backup ya kabila lao, kabila likiwa na watu wengi mwishowe wanatengeneza himaya yao. Wataanza kuwa na benki yao ya kukopeshana, watatafuta eneo ambalo watajenga wao tu.
Ni vitu vidogo ukivichukulia kawaida ila vina madhara mbeleni.
hapa mtaani kwetu nyumba zote ni za wachaga kuanzia nyumba ya kwanza mpaka ya mwisho,hakuna hata moja ya kabila lingine! mtaa umetulia hakuna uswahili kwa ufupi ni uzunguni ! my late grandfather alikua anaamini wasio wachaga ni savages alikua anawaita watu wa porini, kwa akili kama zako alikua sahihi kabisa kuwaita hivo
 
Back
Top Bottom