Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
Umoja kama umoja hauna shida kama hakuna malalamiko lakini ukiona kuna malalamiko hasa ya wenyeji wa eneo husika hasa mikoani you have to take with care. Sasa Manyara kuna malalamiko hasa kwenye machimbo sasa unategemea RC akae kimya tuu. Mimi naona ni vizuri kutangaza kufuta umoja huo ili kuweka hali sawa la sivyo inaweza leta shida.
Wana pika BOM baya kuliko yote!Kama kuna jamii ina watu malimbukeni , Wapuuzi na wasio na akili nchi hii basi those damn sukumas are on the top of the list . We angalia hizi samples Magufuri . Makonda . Mnyeti nk . They are too insecure , inferior and divisive . Upuuzi tupu
Pale mtawala anapoamua kwa makusudi kabisa bila kificho wala aibu kupendelea kabila lake na kuonyesha chuki wazi wazi kwa kabila jingine,huku akipeleka miradi lukuki ya maendeleo kwao huku akiacha asilimia 98 ikibaki na miradi ya kale na kuwasanifu kuwa sasa siyo zamu yao ndiyo inayoweza kupelekea jamii moja kujiona kuwa inapaswa kuchukua hatua za ziada ili kujikwamua dhidi ya ubaguzi wanaofanyiwa,na ikizidi zaidi ndipo nao watakapoona haja ya Kujihami physically, hapo kitakachosubiriwa watu waanze kuumizana ni kipenga tu!!!! Mungu atuepushe na ndimi za shetani.Vyanzo vya umimi na ukabila..
Hata Somalia walianza mambo kama hyao huu ukooo wa fulani ule ukoo wa jirani..
Anatafutiwa zengwe
Ova
Mlizoea kupendelewa kila mradi Kaskazini tu sasa tulieni na mikoa mingine ipate miradi. Poleni
Umoja wa kuzikana mkuu, sijui una madhara gani, hata huku Dar upo, halafu sio umoja wa Wachaga, ni umoja wa Kilimanjaro, including wapare, wamasai n.kUmoja kama umoja hauna shida kama hakuna malalamiko lakini ukiona kuna malalamiko hasa ya wenyeji wa eneo husika hasa mikoani you have to take with care. Sasa Manyara kuna malalamiko hasa kwenye machimbo sasa unategemea RC akae kimya tuu. Mimi naona ni vizuri kutangaza kufuta umoja huo ili kuweka hali sawa la sivyo inaweza leta shida.
Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Sasa apo kua na Umoja wa kabila lenu kuna hasara gani mkuu?