Wameendelea nini huku wakiongoza kwa vyeti feki, wewe subiri miaka mitano mingine uone mitaji yao ya kimagumashi inavyopukutika. Sasa hivi kila kabila wamesoma. Hakuna kubabaishana. Ilikuwa ni upendeleo wala hakuna cha kundelea hapo.Roho mbaya tuu!!hivi why wanawachukia wachaga tukubali wametupita vingi mnoooo!!tuendelelee kujifunza kutoka kwao!
Nasema hivi Roho mbayaaaaaaaaa!!na siwapendi miye mijitu kama hyooo na kwa staili hii hatutakaa tuwafikie wachaga ng'ooo..tunakoeleka tutawakataza kwenda desemba kwao!
Wameendelea nini huku wakiongoza kwa vyeti feki, wewe subiri miaka mitano mingine uone mitaji yao ya kimagumashi inavyopukutika. Sasa hivi kila kabila wamesoma. Hakuna kubabaishana. Ilikuwa ni upendeleo wala hakuna cha kundelea hapo.
Kama ni kufuta, vifutwe vyote vya nchi nzima! Kuanzia cha wana Chato n.k
La sivyo itakuwa ni upandaji wa mbegu ya ubaguzi wa kikabila waziwazi!! Na mavuno yake kuna siku yataonekana....
Hawa viongozi wasio na akili wametufikisha mahali pabaya sana!
Hapa ni kutofikiria tu, sisi hapa tulipo pia tunacho, hiki ni chama cha kuzikana, unakuta mtu anafiwa hana chochote. Na kawaida lazima tukazike kwetu.Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Miji yote ya makabila yote huko.nyuma yalikuwa mapori wakayabadilishaNaambiwa Kimara na Mbezi palikuwa pori,lakini hao watu wa mkoa tajwa kwa pesa zaowenyewe walipabadilisha
Maendeleo yana Makabila
Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Kabila lipi lisilosoma Sasa hivi unaota?Acha ujinga nenda vyuo vyote kuanzia vya certificate ndo utajua kabila gani wanasoma kwa wingi zaidi, tz tuna zaidi ya makabila 120 sasa nenda kahesabu idadi ya kabila la wachaga linganisha na hayo mengine 120 utapata jibu
kushirikiana ni ubinafsi!?Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Wewe unazungumza kwa hisia mimi nazungumza practically. Endelea kujidanganya eti wachaga ndio wamesoma sana. Hiyo kitu sasa hivi haipo. Wewe hujui yaliyokuwa yakitendeka CRDB wakati mchaga akiwa CEO, akienda kabila jingine kuomba mkopo na vigezo anavyo atapewa mkopo kiduchu, akienda mchaga hata kama hana vigezo atapewa mamilioni ya fedha. Ndio maana nasema subiri miaka mitano mingine mbele uone mitaji yao ya kimagumashi inavyopukutika.Acha ujinga nenda vyuo vyote kuanzia vya certificate ndo utajua kabila gani wanasoma kwa wingi zaidi, tz tuna zaidi ya makabila 120 sasa nenda kahesabu idadi ya kabila la wachaga linganisha na hayo mengine 120 utapata jibu
we una kichaa kweli wewe , kwahyo unataka watu watoe mchango wa harusi kwa ndugu zao sawa na kwako ambao hamna uhusiano wowote ule !!Maofisini vyeo na ajira hupeana wait kwa wait kwa kupendeleana na fursa nzuri hupeana wao kwa wao,michango ya harusi na misiba wao hupeana nyingi wengine hutoa kiduchu
Tenda pia hugawiana wenyewe na Mitandao yao ya kikabila
Nani kasema mkoa wa kilimanjaro wanaishi wachaga tu!???
Ni uhayawani umetamalaki ktk utawala wa awamu hii na chuki dhidi ya makabila yenye maendeleo
chuki ya Ndugu za Yusuph ndio iliomfanya akawa Wazir mkuu Misri.
chuki dhid ya Wachaga inazidi kutupeleka ikulu mchana kweupe na kufanya mambo ambayo kila mtanzania atajivunia utanzania wake na sio ukabila au udin kama tunavyo ona sasa.
Nenda pale Ardhi university leo kuna graduation orothesha majina ya graduants wote lete huku tufanye analysis tutafute ratios tribewise.Kabila lipi lisilosoma Sasa hivi unaota?
Mzee Mwenzangu, hivi vyama vimekuwepo mingi si kwamba ni jambo geni.Inahitajika kujadilika na watu kutoa mawazo ya kuona kama kuna ulazima wa kuwa na vyama vya aina hii na kama viwepo basi viongozwe kwa taratibu gani. Kufuta bila kujadiliana au kutoa nafasi kwa mawazo mbadala kutolewa ni kuwa na uhodhi wa fikra.
Wewe unazungumza kwa hisia mimi nazungumza practically. Endelea kujidanganya eti wachaga ndio wamesoma sana. Hiyo kitu sasa hivi haipo. Wewe hujui yaliyokuwa yakitendeka CRDB wakati mchaga akiwa CEO, akienda kabila jingine kuomba mkopo na vigezo anavyo atapewa mkopo kiduchu, akienda mchaga hata kama hana vigezo atapewa mamilioni ya fedha. Ndio maana nasema subiri miaka mitano mingine mbele uone mitaji yao ya kimagumashi inavyopukutika.