shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,396
Hakuna maendeleo hapo. Unajenga kigorofa migombani halafu kwa mwaka unalala humo siku mbili tu kama siyo ujinga ni nini huo ? Kwa nini usiwekeze mahala ambapo utaingiza pesa ?
Umewaza mbaliSi ajabu kitachofuata ni kufuta makanisa ya wazungu maana yanafunza utamaduni wa kimagharibi, futa misikiti maana inafunza utamaduni wa mashariki ya kati, futa kila ambacho hakina asili ya Manyara...
Rubbish ideology, wachaga walikuwepo kabla ya crdb, na wapo hata crdb ispokuwepo,
Wachaga hawategemei mikopo kuendesha shughuli zao, ukitaka kujua uhalisia pitia minada yote ya mabenk kwa wakopaji utajua wakopaji wengi defaulters kina nani.wachaga hawakuja mjini kucheza ndombolo bali kutafuta pesa na wengine elimu, hyo miaka mingine mitano hamtawafanya chochote zaidi ya kuwanyima fursa za ajira, sasa miaka hyo mitano ikiisha itakuweje au mnadhani mtatawala milele
Ubepari tuliukataa... ukomunisti hatukuuweza... ujamaa ulitushinda ninachokiona sasa ni kama GARI LIMESHAKATA USUKANI NA MWELEKEO UMEPOTEA!!!Si ajabu kitachofuata ni kufuta makanisa ya wazungu maana yanafunza utamaduni wa kimagharibi, futa misikiti maana inafunza utamaduni wa mashariki ya kati, futa kila ambacho hakina asili ya Manyara...
Akihojiwa huyo RC huenda akajibu huku katanua makwapa "...ni amri kutoka juu!!!?"Vyama vya kikabila siyo vizuri kwa mustakabali was taifa.
Hata hivyo,katazo la mkuu wa mkoa lina utata kidogo;
1. Pale viwepo vyama vya Wairaq, wamasai,......(makabila).
2. Watu wa Kilimanjaro (mkoa, siyo kabila), wakafanyie kwao.
Tunahitaji busara na hekima kupinga mambo tunayohisi yanaweza kusababisha mgawanyiko katika taifa.
Hatuwezi kupinga ukabila kwa ubaguzi.
chezea Wachaga ila mtapata majibu. Tumefika patamu Wachaga waandamane kupinga ubaguz wa wazi wazi dhidi ya uwepo wetu maana tunapoelekea watatutoa roho kama Hitlar kwa Israel
Mkuu Tumainel nasoma comment zako humu nabaki tu kumshangaa Mungu kama ni wewe kweli.Kweli Yesu alikuja duniani kwa ajili ya kwenye dhambi ili tupate kuokoka. Amina.chezea Wachaga ila mtapata majibu. Tumefika patamu Wachaga waandamane kupinga ubaguz wa wazi wazi dhidi ya uwepo wetu maana tunapoelekea watatutoa roho kama Hitlar kwa Israel
Yeye kasema hali halisi ilivyo Kuna watu wameshindwa kuwa wamoja Sasa wanajaribu kuharbia wenzaoNa wewe ni Mchaga?