Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
True kuna mikoa hata kusemeshana hawasemeshaniYeye kasema hali halisi ilivyo Kuna watu wameshindwa kuwa wamoja Sasa wanajaribu kuharbia wenzao
Ukiona mtu anaota ndoto za mchana huna haja ya kushangaa ila ujue karibu anakuwa chizi.
ExactlyTrue kuna mikoa hata kusemeshana hawasemeshani
Kwani Dr Mashinji anasemaje?!Unajisikiaje anayewasakama wachaga akiwa Msukuma ?
Katangulia wapi maisha ya duniani hapa ? Wote watanzania tunalingana tu kimaisha. Ni kujikweza tuYote Kwa yote aliyekutangulia,kakutangulia tu!
Kwani zamani walitoka Rombo?!Mtoto wa kwanza katika ufaulu darasa la 7 kitaifa siku hizi lazima atoke chato
unapaswa kujua namna ya kutetea hoja zako za kishamba unazozileta humu , vinginevyo utapuuzwa , unaweza kuwa shabiki maandazi wa ccm ili ujifurahishe au ulipwe lakini nakuhakikishia kwamba huyafahamu ya gizani yaliyopangwa dhidi ya wachaga , ni bora ukae kimya tu .Kwani Dr Mashinji anasemaje?!
Manyang'ao na hasira zenu kwa kabila la wachaga mtaishia kujitekenya wenyewe baada ya wachaga kuwa hawana mda na mianawake mijinga
Huyu mnyeti na chama chake wamefilisika ki mawazo na kisiasa.Hayo ni mawazo yako mufilisi!
Mbona umekasirika ghafla bwashee?........ Hilo banda lenu hapo Ufipa ni la msukuma ndio maana sisi wenzio tunakemea ukabila ili mr wako Sugu ashinde kwa kishindo!unapaswa kujua namna ya kutetea hoja zako za kishamba unazozileta humu , vinginevyo utapuuzwa , unaweza kuwa shabiki maandazi wa ccm ili ujifurahishe au ulipwe lakini nakuhakikishia kwamba huyafahamu ya gizani yaliyopangwa dhidi ya wachaga , ni bora ukae kimya tu .
Mkuu kuna watu bado wanafikiria kizamani!cha ajabu mnakatazwa kuonana live mnahamishia kuonana whats up group so cjui atakuwa kafanya nini
Angekuwa ameelimika angeelewa hayoMnyeti anatamani aamke kesho akute hakuna mkoa wa Kilimanjaro wala wakazi wake hawapo kbs duniani.
Ipo siku wanakilimanjaro watamfadhili yeye na familia yake ndipo atakapojuw kuwa chuki ni mbaya