Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

ubongokid,



Kwa wengine hizi ni taasisi rasmi kabisa

Na kwa wengine ni taasisi zisizokuwa rasmi lakini zipo

Na hakuna awezaye kuzivunja
 
Kwa mujibu wa takwimu za serikali, mkoa wa kilimanjaro ni mkoa wa pili Tanzania watu wake kuwa na maisha bora kwa 90% ikifuata baada ya dar yenye 92%
Pia makazi ya kisasa kilimanjaro nzima Ni 90% unafikiri Ni mchezo? N'a sio Léo tu tangu enzi na enzi kilimanjaro ni mkoa wa kimaendeleo
Pia kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa idadi kubwa ya shule za sekondar na a level, kilimanjaro Hakuna mtoto anayekaa chini watu wa kule walishajitolea kujenga miundombn hawasubiri serikali,mfano kule machame barabara za lami zimejengwa kwa michango ya watu binafsi,vunjo barabara zote za jimbo zimekatabatiwa kwa bilion 7 hii yote ni michango ya wananchi elimu inaakisi akili
Ni wapi TANZANIA wananchi wanaweza kujitolea kuchanga bilion 7? aliyetangulia katangulia tu mkuu
 
Kwa mujibu wa serikali, kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora sasa wewe jidanganye kilimanjaro ni baba lao kwenye maendeleo,Hakuna mkoa wowote TANZANIA unaofikia makazi ya kisasa vijin kuzidi kilimanjaro
 

Bado nakuona unachekesha, takwimu za serikali zinatubia kilimanjaro Ni ya PILI kwa watu wake kuwa na maisha Bora sasa unabishana na takwimu? Hata kiuhalisia ukipita utaona tofauti na mikoa mingine tu, kilimanjaro huwez kuta watu wakitembea kilometa 10 kwenda zahanati au shule kule huduma hizo ni accuracy 90%,huwezi kuta mtoto kakalia mawe shule kule shule Ni nyingi mno Ni mkoa wa kwanza kwa shule nyingi Tanzania

Makazi ya watu kule 90% Ni ya kisasa takribani kila Kaya ina nyumba ya kisasa sasa ulitaka maisha gan?
 
Bora tu kuanzisha Rift Valley Republic ambayo itakuwa na mji mkuu wake hapo Arusha.
Manyara Kilimanjaro na Arusha kwa maana uonevu umetalamaki
 
Sexless,
Mnyeti hataki wachaga tu , lakini ameruhusu makabila ya Manyara kuanzisha vikundi na ameenda mbali zaidi kwa kuwaambia wachaga kwmba kama wanataka vikundi hivyo wakaanzishie kwao .
 
Wachagga bana mkiona hamzungumziwi lazima muibuke na vioja.
 
Maagaizo toka juu.
Babalao alishasema mliendelea sana sasa ni zamu wengine nao kupata maendeleo
 
Wachagga walikuwa wametulia zao wanawaza krismas hii waende moshi kwa basi,treni au pipa? Mara vuup!!! Limnyeti sijui likakurupukia wapi maskini ya mungu!! Likaja kuvuruga utaratibu, afadhali ya mtu aliyejamba msikitini kwa sauti kubwa kuliko mnyeti!! Sijui tumbo lilikuwa linamsokota?
Wachagga bana mkiona hamzungumziwi lazima muibuke na vioja.
 
Sexless, Una hoja muflisi kama ya mwenzio mnyeti.
Mwenye uzi alisema mnyeti kwa lugha ya kwao ni MKIA.
Kumbe mkia hauwezi kuwa mbele,ni lazima uwe nyuma ili uwe unaburuzwa ki akili
 
Kwani ili mtu akusaidie kwenye msiba ni lazima awe wa kabila lako tu? Hoja dhaifu hii.


Mlikotoka kuna kabila moja tu? Hoja mufilisi hii.

Mnyeti shikilia hapo hapo baba. Majitu haya yanaleta ukabila nchini.
Akili zako ziko makalioni badala ya kichwani,pimbi wewe
 
Kwangu Mimi nimeona sehem yenye wananchi wenye maisha bora ni Zanzibar, Huduma zakijamii zipo kila mtaa, zenj umeme upo, maji, nyumba zakawaida lakin nzuri na Zanzibar akuna wazanzibar wanao lala nnje, na akuna waatoto wa mitaani kwakifupi wazanzibar hawana maisha magumu ya kufanana na sehem yoyote bara na kwa takwim siyo zakupika Zanzibar ndiyo wanatakiwa waongoze kwa wakazi wenye maisha bora.
 
ubongokid,
Tulishasema hivi vyeo vya ukuu wa mkoa na Wilaya vifutwe havina maana yoyote wala umuhimu wowote kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…