Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

Mm imetimiza wajibu wangu nimepanda ekari 100 ndani ya miaka 7
 
Mm imetimiza wajibu wangu nimepanda ekari 100 ndani ya miaka 7
duh hongera sana kwa hilo na uendelee kwa moyo huo huo
Hapa hapa Tz tuna misitu mingapi ya kupandwa??
 
So serkali ilete mvua ,

USSR
Tumia akili yako ,kutafakari kama binadamu mwenye utashi!
Ni aibu kama Taifa kuwa mvua imechelewa mwezi.mmoja tu,tunapoteza mifugo ya Mabilioni!Inatakiwa tujiongeze kuwa na malishonyanayoendana na idadi ya mifugo
Aidha ni lazima tujiandae na uhaba wa mvua!
Kwa Nini yuwe naifugo amabayo uwezo was kuilosha unategemea kudra ya Mnyazi Mungu!
Wataalam wetu Wana fanya nini!
 
So serkali ilete mvua ,

USSR
Tujikumbushe kidogo

Halafu USSR hebu jiulize tu serikali ilifanya nini baada ya hizi taarifa za mwaka jana halafu uje uulize hili swali lako [emoji848][emoji848]
 
Na sio mmasai tu wafugaji wakubwa wote ng'ombe kwao ana thamani sana,kuna mzee alitaka kujinyonga kipindi cha kiangazi maana anaona mifugo inakufa tu
Mimi nawajua wawili wamedata kwa mifugo yao kufa...leo nimeshuhudia ngombe wanne wakianguka karibu na mgodini,yani ukiwa mwajanga mpka swala nazo zinakufa....watu wakimbiza swala au digidigi kwa miguu na kumkamata
 
Hebu toa pendekezo au Ushauri nini kifanyike.
Serikali itenge maeneo makubwa ya ufugaji,kama Morogoro,Iringa,Kiteto,Muheza ,Kigoma,na Rukwa na Kagera.Then ianzishe kilimo cha nyasi za malisho...zizalushwe kitaalam.ili zisaidie wakati was ukame au kiangazi.
Hapohapo uzalishaji was vyakula vya kisasa vya mifugo usisitizwe ...mfano,kutumia mashudu ya alizeti!
Na hii i3nde sambamba na wakulima.kufuga ng'ombe Kwa tija! Sinkuwa na makundi makunwa ya mifugo Hulu wanakula vumbi!
Haakuna lisilowezekana Kiongozi!
Tatizo tumekaa tunafanya porojo bila kufikiria kesho!
Majuzi nimeshuhudia kijijini huko Monduli Masai anatembeza ng'ombe Bei ya kuanzia elfu 40,000(Elfu arobaini)ilhali.miezi 3 iliyopita Ng😱mbe kama huyo alikuwa anuzwa kuanziq laki sita!
Tuna tatizo kubwa kama Taifa!
 
Mimi nawajua wawili wamedata kwa mifugo yao kufa...leo nimeshuhudia ngombe wanne wakianguka karibu na mgodini,yani ukiwa mwajanga mpka swala nazo zinakufa....watu wakimbiza swala au digidigi kwa miguu na kumkamata
kwa mguu wapi huko aisee
 
Elfu 40 dah hiyo hasara lazima upagawe
 
Shida ya hawa ndg zetu wao wanaona kuwa na mifugo/ngo'mbe mingi ndio utajiri mkubwa . Yaani kuna mmoja amesoma mpaka degree na ni mtumishi Ila kwake mifugo tuu ndio Dili Hana mpango hata wa kujenga kajumba Ka kuishi. Yeye akili yake inawaza ngo'mbe tuu
 
Ndugu tupo kwenye Ubebari sio kila kitu Serikali umeona fursa hiyo itumie...Nenda TIC waambie nataka kuwekeza nataka Ardhi...Kwa kuanzia unatakiwa uwe $100,000/-
Serikali iweke Mazingira mazuri ya kuwekeza basi.
 
Duh
 
hizo si ni dollar hizo [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…