Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Huyu Mkt anafanya kazi nzuri sana aise
 
Ila mama anajitahidi sana kugusa maisha ya watu, kiukweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
CCM sikuhiz mnaanza kuwa na akili

KWA KUDRA ZA MUNGUBTUTAKUWA NAYE HADI 2030

wakat wa Magufuli mlisema hata MUNGU ASIPOPENDA TUTAMLAZIMISHA AENDELEE ATAKE ASITAKE



MUNGU FUNDI SANA
 
Manyoni Singida
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
huu utamaduni wa serikali kufanya jambo fulani anasifiwa rais uliasisiwa na mwendazake naona mama naye kaiga,pesa tuchange sisi walalahoi halafu asifiwe anayeishi kwenye viyoyozi,sipendi kabisa muwe mnatumia serikali imejenga kupitia kodi ya wananchi sio kutaja mtu.Ulisha ona wapi mtu mmoja akajenga nchi?.
 
"Rais Samia kujenga Shule ya Singida Girls". Anatoa hela yake mfukoni au ye ndo atakuwa mbeba tofali?
 
Manyoni yakitambo sana, Hongera Rais Samia
 
Ni kweli, shule inajengwa na serikali kwa gharama ya walipa kodi kodi wa Tanzania!! kujikomba kwingine hadi aibu!! Hela zenyewe ni mkopo wa muda mrefu wa pesa za corona!! Watanzania ndio wanabebeshwa mzigo wa kurejesha mkopo na riba juu!! Mzigo abebeshwe mwingine na sifa abebeshwe mwingine siyo sawa!! Rais ana nafasi yake ya sifa kwa kuruhusu utashi wa maendeleo lakini ni kwa niaba ya waliomchagua na si vinginevyo!!
 
Pamoja na juhudi za serikali kuleta huduma za kijamii, lakini maendeleo ya kweli yataletwa na wana Manyoni wenyewe.
Jikiteni kwenye uzalishaji mali, Kilimo, mifugo na Viwanda vya kusindika bidhaa kama mafuta ya Alizeti, matunda nk.
Vinginevyo mtaendelea kuyaona maendeleo kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…