Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

Mbona hilo suala la kujengwa shule ni kwa mikoa yote 26 zitajengwa hebu njoo na kitu tofauti bro
 
ndugu zangu baba yetu wa Taifa alituasa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu mwenzio. haya mambo ya ubaguzi yalianza kipindi cha mwendazake. Zimeanzishwa kauli za kibaguzi hasa anashabikia Majaliwa za kibaguzi eti "MAENEO YA KIMKAKATI" ubaguzi ni kuwa wanajenga hoja za kibaguzi kuwa kuna sehemu za nchi hii hazifahi kuendelezwa hasa kwa kuwekea miundo mbinu ya barabara za lami.l Amekuja mama Samia ubaguzi uleule eti shule ya sekondari kila mkoa ya mchepuo wa sayansi ya wasichana. Leo tena shule ya sekondari ya wasichana SINGIDA ya wasichana. we RAIS unamfurahisha nani? kwani watoto wa kiume hawajazaliwa na wanawake"?
 
Naungana na wewe 100%
 
Point of correction ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujenga, Mhe Raisi hatoi hela yake mfukoni, hivi shuleni mlienda kusomea nini?
 
Kaziiendelee
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Daaah kwani ujinga ni upi hapo?
Sasa kwanini kuwe na mkutano wa bajeti wa bunge,na ndo unatumia pesa nyingi sana kama posho kwa wabunge,alafu kuna mtu pekee anaweza kuamua matumizi atakavyo
Alafu kuna mafungu kibao wizara haiyapati mpaka mwaka wa fedha unaisha.
Hakuna haja ya kuset priorities na kuziweka kweny bajeti.
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Umerogwa siyo bure.
ungeonyesha mfano wa aina hiyo ya shule ilishakuwepo wapi na ilileta manufaa yapi kwa eneo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…