Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

Mkuuu, sio kwamba zitataifishwa kwa sababu ya ushindani bali ni katika kuboresha uzalendo na kiwango cha elimu kwa manufaa ya taifa zima kwa ujumla.
Kaka Katangkaondolewa
giphy.gif

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Feza Primary ina Walimu 52 kwa Wanafunzi 640
Wastani wa Mwalimu kwa wanafunzi 12
Kwa mazingira haya watoto watafaulu tu,tena utakuta mkondo mmoja wa darasa una watoto hawazidi 30.
 
Hapana gharama ni 3.7mil kwa mwaka
Pana mtu niko nae hapa tunasoma pamoja hii thread.Kapiga moja kwa moja Feza Primary akajibiwa ada ni 6.8M kwa mwaka.Kama mtoto anaanza au anahamia utalipia na 700K za admission on top of ada.
 
Uwezo wa kulipa ada za vijana wetu tunao. Sema serikali, wajipange kuondoa hali ya kuferi kwa shule za kata.
Hizi zingine watuachie. Tutapambana nazo.
 
Pana mtu niko nae hapa tunasoma pamoja hii thread.Kapiga moja kwa moja Feza Primary akajibiwa ada ni 6.8M kwa mwaka.Kama mtoto anaanza au anahamia utalipia na 700K za admission on top of ada.
Basi walichoandika kwenye website ni tofauti na maelezo yao
 
Pana mtu niko nae hapa tunasoma pamoja hii thread.Kapiga moja kwa moja Feza Primary akajibiwa ada ni 6.8M kwa mwaka.Kama mtoto anaanza au anahamia utalipia na 700K za admission on top of ada.
Ila pamoja na hayo bado wanatoa elimu nzuri na malezi mazuri.

Mwanafunzi anatoka akiwa anaelewa alichofundishwa.
Na ndo maana Interview zao ni written na oral
 
Back
Top Bottom