Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
- Thread starter
-
- #61
Ndio upumbavu gani huu?Harlan cobens shelter
ItafuteNdio upumbavu gani huu?
Mzee MUNGU ni mkubwaMkuu unaelekea kwenye upumbavu na ujinga sasa kufungua nyuzi zaidi ya moja kwa swala hilo hilo moja. Halafu kwanini unalazimisha mechi ihairishwe? Umekazania tu mechi ihairishwe
Huyu atakuwa mgonjwa sio bure.Mkuu unaelekea kwenye upumbavu na ujinga sasa kufungua nyuzi zaidi ya moja kwa swala hilo hilo moja. Halafu kwanini unalazimisha mechi ihairishwe? Umekazania tu mechi ihairishwe
Amekaribia kwenda kula nyasi miaka 7Dawa yako Daniel
Sawa endelea na madharau yako
Pitch ndio niniGHARAMA za kutengeneza pitch mnazijua??
Wakiruhusu tu pitch itakuwa barabara ya ngombe
Utajua hujuiPitch ndio nini
Kumbe hua anaingilia hadi mambo ya kipumbavu na kijinga kama michezo ya mpira wa miguu? Kwahiyo kama mechi ikichezwa Mungu atakuwa mdogo ama?Mzee MUNGU ni mkubwa
Mpira hauchezwiiiiiiii
Sasa atawaonyeshaKumbe hua anaingilia hadi mambo ya kipumbavu na kijinga kama michezo ya mpira wa miguu? Kwahiyo kama mechi ikichezwa Mungu atakuwa mdogo ama?
Hahaaaa, kwani shida nini?Boli linapigwa wewe baki hapo sebuleni na dada yako mkichambua Mchele.
Mzee acha panick mpira sio kila kituBoli linapigwa wewe baki hapo sebuleni na dada yako mkichambua Mchele.
Utani tu mkuuMzee acha panick mpira sio kila kitu
Mvua imeacha, mechi inachezwaKwa kuwa watanzania ni watu wa madharau,na kudharau mambo basi,tff nakusihi mpira usichezwe,madudu yenu Leo yatawekwa bayana mkishindwa kuharisha mechi.
Sasa ni 13:13 mda bado wa kusema mechi imeghairishwa.
Nipo pale nimetulia zangu nacheki Harlan cobens shelter
Mzee kumbe bado hujayaamini maneno yangu??Mvua imeacha, mechi inachezwa