Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

Kwa kuwa watanzania ni watu wa madharau,na kudharau mambo basi,tff nakusihi mpira usichezwe,madudu yenu Leo yatawekwa bayana mkishindwa kuharisha mechi.

Sasa ni 13:13 mda bado wa kusema mechi imeghairishwa.
Nipo pale nimetulia zangu nacheki Harlan cobens shelter
 
Mkuu unaelekea kwenye upumbavu na ujinga sasa kufungua nyuzi zaidi ya moja kwa swala hilo hilo moja. Halafu kwanini unalazimisha mechi ihairishwe? Umekazania tu mechi ihairishwe
 
Mzee MUNGU ni mkubwa
Mpira hauchezwiiiiiiii
 
GHARAMA za kutengeneza pitch mnazijua??
Wakiruhusu tu pitch itakuwa barabara ya ngombe
 
Mzee MUNGU ni mkubwa
Mpira hauchezwiiiiiiii
Kumbe hua anaingilia hadi mambo ya kipumbavu na kijinga kama michezo ya mpira wa miguu? Kwahiyo kama mechi ikichezwa Mungu atakuwa mdogo ama?
 
Kwa kuwa watanzania ni watu wa madharau,na kudharau mambo basi,tff nakusihi mpira usichezwe,madudu yenu Leo yatawekwa bayana mkishindwa kuharisha mechi.

Sasa ni 13:13 mda bado wa kusema mechi imeghairishwa.
Nipo pale nimetulia zangu nacheki Harlan cobens shelter
Mvua imeacha, mechi inachezwa
 
Back
Top Bottom