Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa kuongezea tu kwa asiyejua iyo idadi imejumuisha na Wanachama wa CCM maana na wao ni mifugo ni ng'ombe kama ng'ombe wengine
 
Ni lini hiyo sensa ya mifugo imefanyika. Acheni utapeli
 


Chini ya Rais Samia, sekta ya viwanda vya kusindika maziwa imeendelea kuchangia katika uzalishaji wa maziwa, viwanda vya kusindika maziwa vimeongezeka hadi 99 vilivyopo nchini vyenye uwezo wa kusindika lita 865,600 kwa siku, huku kiasi kilichosindikwa kwa sasa kimefikia lita 203,600 kwa siku sawa na asilimia 23.5 tu ya uwezo wake
 
Aisee kumbe Samia ni mfugaji pia!

Nimepitwa na mengi.

Basi chini ya Samia ndio maana uzao wa kunguni na chawa umeongezeka kwa wingi tunahitaji mtu wa kufanya mass fumigation.
 
πŸ’¬ Kama ungepewa nafasi ya kumshauri, ungeandika nini kuhusu maendeleo, ajira, elimu, afya, vijana, au maadili ya Taifa letu?

✍️ Tuchangie mawazo yenye kujenga β€” si lazima kukosoa kwa hasira, bali kwa hekima, uzalendo na upendo kwa nchi yetu.

πŸ‘‡ Tuandikie kwenye comment au reply ujumbe wako.
Tanzania ni yetu sote β€” sauti yako ni muhimu! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
#UjumbeKwaRais
#TunajengaTanzaniaPamoja
#MaendeleoNaMaadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…