Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

Ufafanuzi mujarabu
 
Hao vijana hawawezi kujua nguvu ya USSR.

1. Ulikuwa muunganiko wenye UZALENDO WA HALI JUU MNO.

2. Hapa ndo palikuwa na ujamaa haswa.

3. Jeshi na Inteligenc ya Russia hawa ndo waliisuka na kuifanya iwe bora kama hivi ilivyo leo.

Vijana wa sasa hawajui kuwa licha ya uzalendo uliotukuka wa USSR, CIA iliipasua hiyo USSR.

Toka ilipopasuliwa mambo yakabadilika mno, viongoz wa juu wa Russia, hasa akina Putin na Medved, wakatengeneza makundi ya kirafiki ambayo ndio yanaendesha Russia.

Haya makundi ni rafiki za Putin na familia zao, yana pesa chafu mno, pesa nyingi sana kupitia resources za Russia. Vijana wa sasa hawaelewi kuwa ule uzalendo ulokuwa USSR haupo tena ndani ya Russia. Ukichukua askar 1,000 wa Russia waliopo Ukraine, ukauliza wangapi hamtaki kupigania Taifa leo ktk hii vita? Naamini hawatapungua vijana 900 wataopinga hii vita.

Wengi mpaka sasa tunaamini kuwa NATO imekosea mno na imejikaanga yenyewe kuhusu uvamizi wa Russia. Vijana hawa wa hovyo hawajui kuwa hakuna shirika bora la Intelligenc ulimwengu kama CIA. Hawa wanajua 40 yearz mbele nini kifanyike kwa Taifa flan endapo lipo against nao. Hawa jamaa walishamsoma Russia muda sana, usifikiri kuwa hawakupiga hesabu cos za kumvamia Russia, walijua wakigomea gas nini kitatokea, kuna kitu wanakitafuta Russia, ni ngumu kukitambua ila upo wakati kitafahamika, wameona proa ni kubwa zaidi ndo maana wakaruhusu Ukraine aingie vitani pia.

Vita ni pesa, vita ni uchumi. Russia mbele ya mabeberu ni wa kawaida mno, nchi ndogo kieneo kama UK, Japan, France, German n.k zimemuacha parefu Mrusi. US usimuweke hapo kiuchumi dhidi ya Russia.
 
Kwanza Shikamoo Join the chain ya CHADEMA inaendeleaje!

Naona CHADEMA mmeshika msimamo kwamba mnasimama na Urusi nauliza Mbona mkitoa mifano ya democracy mnatolea ya USA, na mnaposhambuliwa mnaenda USA si Urusi?
Chadema hawajasimama na urusi kuvamia Ukraine

Mawazo ya mtu binafsi usiyafanye ya chama.

Uko ccm wapo wanaofurahia urusi kuvamia Ukraine na wapo wanaochukia hivyo hawo hawako na chama bali ni maoni yao wenyewe.
 
Hoja dhaifu unazotoa.
 
Hata dunia nzima ikiungana hawaiwezi Marekani. Ana uchumi imara na mkubwa mara kumi zaidi ya Uchina. Anasilaha ambazo hata malaika wanazishangaa. Kuonesha nguvu zake kiushawishi kawashawishi vijana wengi kuwa mashoga na kuamini Marekani hawezekani.
Kwakuwapa msaada wa vilainishi wamegeuka wapiga debe wake. Kwani kitendo wanachokifanya kwa vilainishi hivyo,huwapelekea kupata maambukizi ya Ukimwi. Wasipoiona Marekani kama mungu wao hawtapewa msaada wa ARVs.

Lakini kwa watu wenye akili zilizosalimika na upumbavu huo,wanamuona Marekani ni muharibifu wa ustawi wa dunia. Analeta machukizo ya kila aina. Anaharibu vizazi. Anaeneza mauaji kila mahali. Hakuna vita vinatokea duniani ila atakuwa na mkono wake humo. Huyo ni shetani wakulaaniwa na kila mpenda haki.

Kuwepo kwa nchi nyingine zenye/yenye nguvu kama zake au kumzidi,hapo ndipo dunia itakuwa salama. Ni muhimu kuiombea Russia, China na N.Korea zizidi kuimarika ili kuipusha dunia kugezwa watumwa wa Marekani kama Ulaya ilivyogeuzwa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mjinga
Kwa nn unampinga mwenzako eti hiyo vita "haitachukua muda mrefu kama unavyo dhani"
Unasema itachuka"saa kadhaa"
Mpumbavu kweli we nan amekupa hiyo guarantee ya kusema hivo??
We ni mtu wa ovyo huna uhakina na unachosema halafu unampinga mwenzako as if upo sahihi asilimia zote

Hayo ni maon ya mtoa mada tena kwa facts zake
Wewe nawe toa maon yako kwa facts zako
Halafu tulia
Hiyo vita ikitokea sisi ndiyo tutarudi kwenye huu uzi nakupima nani alikua na facts zenye ukweli

Next time hata ukianzisha uzi watu wana subscribe kabsaaa maana wanajua wewe ni mtu unaye tema madini vitu venye kueleweka

Mfano@Pascall kuna uzi alileta 2014 akisema mtu fulan atakuwa rais akatoa facts zake,ila alianza kusema ni tetesi tuu

Mtu Kama huyu akileta mada yake hapa siwez acha kumsoma maana najua ndani kuna madini mengi ya kufikirisha

Plz tuheshimu maon ya mtu sio kuanza kusema oooh ushoga mara hivi.......,!!!!!!
Achen utoto
 
Hahahahah ni kama ngumi tu yani atakaemuwahi mwenzie akashambulia vikali lazma ashinde pambano.

Haijalishi maumbo yenu mmoja akiwa mjanja akaamua kupiga pressure points tu jua lazma life jitu.

Vita ya US na Russia itategemea mashambulizi yatakayowahi kumfikia mwenzie. Ikiwa Russia ana silaha za kumfikia US within several minutes akashambulia kambi za kijeshi mapema jua impact itakuwa kubwa na ya mapema. US anaweza futika kwenye ramani.

Advantage aliyo nayo USA ni kuwa ana washirika wanaweza msapoti kumuangamiza Russia ila kimsingi lazma nao watachezea Satan za kutosha.
 
Msamehe bure, hao ndo mleta mada anawaita vijana wa sasa, vijana wa hovyo, wanapiga domo khs Russia, ukiwauliza hata kuhusu USSR hawatakueleza ilikuwa ni nini na ikafa vipi.
 
Sioni ch maana ulichoandika hapa... Marekani anawakusanya misukule yake anatoa vikwazo baada ya muda ndio anapigana. Kama yeye yupo kama unavyosema watoe vikwazo halafu apigane mwenyewe na Russia. Muda mwingine angalieni kila angle mnapotoa sifa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
sio kweli kuwa jf members wanadai may be Russia au USA kuna atakayeshinda mwenzie.....
USSR kama ambavyo kila mtu anakiri wazi kuwa lilikuwa taifa kubwa, na kusambaratika kwake zinaonekana kila dalili kuwa nguvu zile asilimia kubwa ziko restored asilimia kubwa na RUSSIA,,,
Albert Einstein "I don't know what the third world war will fought, but i know the fouth world war will fought with stones and stick " kwa kauli hii nadhani alimaanisha kama vita ya tatu itatokea basi huenda hakuna maisha baada ya hapo ambapo itabidi dunia iishie hapo na viumbe wapya waje kutokea huko mbelen alafu waanze maisha upya na technology mpya ambayo itaanza na viboko na mawe.......
nataka kusema aliyesema marekan ni ya kwanza kijeshi ni marekani na aliyesema Russia ya pili ni USA, China ya tatu ni USA, India, Israel etc....
kwa kuhitimisha vita ya tatu hakuna, na ikitokea hakuna maisha baada ya hapo,

USA and Russia wote wanadhan za maangamizi zaidi ya tujuavyo hapa jukwan, Ukraine sio kipimo sahihi ya silaha zitakazotumika kama ww3 itatokea
 
Ugoro mtupu Pro Us
Huna Lolote
 
Sasa mbona wewe ndio kishoiya kabisa? Yani bora ukae kimya usubirie mwisho itakuwaje kuliko ulichokiandika😂
 
Umefafanua vema sana juu ya haya mambo aisee
 
Upo vizuri,,,hawajui Urusi kiundani mnabishana nao tuu kisa bando la Mia tano
Mbaya zaidi hii vita na Ukraine imewaibua walikokua hawailewi vizuri.
Mwisho wajiulize kwa nini USA alipoingia Venezuela na Syria, Urusi bila kupepesa macho akamfata USA hukohuko na kuharibu mipango yake na USA akawa mpole tu.
 
Mtoto wewe uliezaliwa chooni baada ya mimba kutungwa mtaroni.
Kama we unalalamika mimi kumkosoa huyo kisa ni maoni yake,we umetoa wapi haki ya kunikashfu kisa kutoa mtizamo wangu!!?

Najua we ni mfuasi na mnufaika wa ushoga ila hupendi kujulikana wala kazi yako kudharauliwa. Usijali sitaigusa tena

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…