Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

Hahahahah ni kama ngumi tu yani atakaemuwahi mwenzie akashambulia vikali lazma ashinde pambano.

Haijalishi maumbo yenu mmoja akiwa mjanja akaamua kupiga pressure points tu jua lazma life jitu.

Vita ya US na Russia itategemea mashambulizi yatakayowahi kumfikia mwenzie. Ikiwa Russia ana silaha za kumfikia US within several minutes akashambulia kambi za kijeshi mapema jua impact itakuwa kubwa na ya mapema. US anaweza futika kwenye ramani.

Advantage aliyo nayo USA ni kuwa ana washirika wanaweza msapoti kumuangamiza Russia ila kimsingi lazma nao watachezea Satan za kutosha.
Hakika.
Ila kuna mwanachama mmoja wa ushoga kachukia kweli mi kutoa aoni hayo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Vijana hawa wa hovyo hawajui kuwa hakuna shirika bora la Intelligenc ulimwengu kama CIA. Hawa wanajua 40 yearz mbele nini kifanyike kwa Taifa flan endapo lipo against nao
Daaaah!
Ujanja ni kukubaliana na hiki ulichokiandika hapa, eeeh!?
 
Dr Lwaitama hahaa!!!
aliwahi kunifundisha kutamka neno scalfodding mpaka leo sijasahau
 
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za abunuasi , vita imejadiliwa Kwa mzaha sana , watu wanakurupuka tu humu,kwanza nataka mjue Urusi iko vizuri sana kijeshi tena kwenye rank za kidunia yupo namba mbili nyuma ya Marekani , lakini leo hii akiingia vitani hata na China ambaye yuko namba tatu atapigwa kwasababu ya uchumi wake mdogo, vita ni bajet yako kijeshi unavyo wekeza kwenye technology ya silaha na udadisi (intelligence). Na Muda katika kupigana vita ya mataifa makubwa hauwi week moja Au mbili ni miezi zaidi ya minne mpaka saba! Hapa lazima uwe vizuri kiuchumi ili uweze kuendesha mambo yote mawili Kwa wakati mmoja , Yaan vita iendelee huku shughuli zako za kiuchumi zisikwame!

Vijana tumekosa kujisomea maandiko mbali mbali na kudadis kupitia makala na scientific research mbali mbali .

Kuna comments moja niliiona sehemu kijana anasema eti alisema ''China itategea kipindi ambacho US ametingwa na uvamizi fulani wa nchi kubwa nyingine, alafu yeye ndo atatumia muda huo kuivamia Taiwan na ataichukua kwasababu kwasasa China yupo mbali sana kijeshi''
Nilimuelewesha mambo mengi sana akaonekana kukubaliana namimi,

Hata hapa JamiiForums sikuwa Mwanachama Nina miezi Kama minne ninejiunga ila napitia masuala kadhaa ya wachambuzi wa siasa zetu Kama kijana Au Mdogo wangu Pascal Mayalla ana makala nyingi sana hapa JamiiForums Kama wangekuwa wanawalipa wana makala basi angepata namba kuna wengine Kama Kiranga Kalamu1 Mag3 sijaona wakichambua masuala haya ya kimataifa na ningetegemea kuona mtizamo wao katika haya

Basi nawaambia kwamba

Watu wanaibeza sana US katika nyanja za vita, US hawana gwaride kuonyesha vifaa vyao ila vita vikianza utaona mengi ambayo macho hayajawahi kuona... Au Kama inafanyika inafanyika katika namna ambayo ni Siri sana !

Pia hatupaswi kuipuuza Urusi katika nyanja za kijeshi, lakini ni upuuzi kudhani Urusi inaweza mess up na Washington na Moscow ikabaki kama ilivyo... tunakosea sana! Hakuna Muungano ulikuwa unatisha kama USSR wadogo ninyi wengi humu !
Hakuna Taifa lilikuwa linatisha Kama Iraq ya Sadam Hussein! Au UMOJA wa waarabu chini ya Sadath wa Misiri. Lakin walikwama sehemu moja tu intelligence na uchumi…

Us kwa uchumi wake na teknolojia lazima Urusi itakuwa katika hali ngumu Kwa Urusi kusema iingie vitani nayo ibaki salama!!

Hata Asia ina safari ndefu kujifunza kutoka America na Ulaya kuanzia military technology,

Nitaendelea kwanini tunapaswa Kukataa vita! Maana nilivyoandika hapa kuna watakaosema natetea maovu Au vamizi za US kwingine Hapana nakemea sana kama nilivyokemea Afghanistan, LIBYA na sasa Nakemea Uvamizi wa Urusi Kwa Ukraine!!

Mimi Dr lwaitama
Kinyume chake ni sahihi Washington haitokuwa kama ilivyo kama itarnda vitani na Moscow na hilo Joe analijua fika ndio maana mdomo wake unaishia kwenye camera za CNN na Washington Post

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli wewe ndiye Lwaitama basi nina uhakika umeandika haya kwasababu mmeamua kama chama kushabikia mashoga na ushoga mkionhozwa na yule jamaa wa Ubelgiji.

Unapozungumzia uchumi,kwani uchumi utasaidia nini kwenye vita kati ya Urusi na Marekani!? Au unadhani watapigana kama Urusi anavyopigana na Ukraine?

Vita kati ya miamba hao viwili haitakuwa ndefu hadi ihitaji uchumi mkubwa. Wala haitachukua miezi saba kama unavyodhani. Huwenda vikaweka historia mpya ya vita vilivyotumia muda mfupi zaidi duniani. Huenda ikachukua saa kadhaa vita kumalizika na kuacha athari isiyoelezeka. Kuna uwezekano wa nchi kama si dunia kurudi zama za giza. Silaha zitakazotumika nizamaangamizi. Itakuwa nani atawahi kumfikia mwenzake. Na akikuwahi hatakupa nafasi yakujibu wala kutubu. Atakuangamiza.

Huo uchumi haotakusaidia mbele ya silaha hizo za maangamizi.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Wewe lazima utakuwa moja katika hao vijana wanaosemwa hapa...

Mtoto wa Kuku said:
Hawa ndo Dr lwaitama aliowasema....wanamiliki tecno na Shule Hamna ila kwa ubishi sasa lol....hapo kishaweka bando lake la 500 anabisha kila kitu asalaleee fungu la kukosa
Eti unajiita babu na mjukuu...!

Delnson said:
Kinyume chake ni sahihi Washington haitokuwa kama ilivyo kama itarnda vitani na Moscow na hilo Joe analijua fika ndio maana mdomo wake unaishia kwenye camera za CNN na Washington Post
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mwingine huyu... masikini DENLSON ...!
Yaani hawa huwaambii kitu kwa Marekani. Wao marekani sio binadamu wa kawaida

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Naam, ni kweli...Marekani si binadamu wa kawaida!

Kwa ufahamisho tu...Wapo Wamarekani wadengereko, warusi, wahindi, wasukuma, waswahili, wakikuyu, waitaliano, wachina, wapogoro, waibo, waarabu, wapagani, wakatoliki, wabudha, waislamu, wakristo, walatino, wanubi...

Kwa kifupi kila kinachopatikana duniani hapa utakipata Marekani. Kila rangi, jinsia, kabila, tabia, tamaduni, lugha, mila...utaipata Marekani.
 
Umeongea kishabiki sana aliyekwambia uchumi unapigana ni Nani kuwa na uchumi mkubwa haikupi guarantee ya kushinda vita Ila inakubost kwenye military strategy Tu alau marekani na Russia kila mmoja ana mbinu tofautii katika upiganaji haitakaaa itokee vita ya marekani na Russia usikae kujidanganya na usichukulie uchumi WA Rusia kirahisi ivyoo laeo hii dunia isingekuwa na maumivu kama vikwazo vya Rusia visingewekwa wengi uku mnaibeza snaa Rusia Ila nakwambia Tu mtu anaweza kuishi Kwa amani na furaha bila ya kushika computer au simu yake Ila siyo Kwa kukosa chakula Rusia ana uchumi WA kiasi Ila unaojitosheleza marekani Una uchumi mkubwa Ila Una magepu mengi Kati ya maskili na matajiri
 
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za abunuasi , vita imejadiliwa Kwa mzaha sana , watu wanakurupuka tu humu,kwanza nataka mjue Urusi iko vizuri sana kijeshi tena kwenye rank za kidunia yupo namba mbili nyuma ya Marekani , lakini leo hii akiingia vitani hata na China ambaye yuko namba tatu atapigwa kwasababu ya uchumi wake mdogo, vita ni bajet yako kijeshi unavyo wekeza kwenye technology ya silaha na udadisi (intelligence). Na Muda katika kupigana vita ya mataifa makubwa hauwi week moja Au mbili ni miezi zaidi ya minne mpaka saba! Hapa lazima uwe vizuri kiuchumi ili uweze kuendesha mambo yote mawili Kwa wakati mmoja , Yaan vita iendelee huku shughuli zako za kiuchumi zisikwame!

Vijana tumekosa kujisomea maandiko mbali mbali na kudadis kupitia makala na scientific research mbali mbali .

Kuna comments moja niliiona sehemu kijana anasema eti alisema ''China itategea kipindi ambacho US ametingwa na uvamizi fulani wa nchi kubwa nyingine, alafu yeye ndo atatumia muda huo kuivamia Taiwan na ataichukua kwasababu kwasasa China yupo mbali sana kijeshi''
Nilimuelewesha mambo mengi sana akaonekana kukubaliana namimi,

Hata hapa JamiiForums sikuwa Mwanachama Nina miezi Kama minne ninejiunga ila napitia masuala kadhaa ya wachambuzi wa siasa zetu Kama kijana Au Mdogo wangu Pascal Mayalla ana makala nyingi sana hapa JamiiForums Kama wangekuwa wanawalipa wana makala basi angepata namba kuna wengine Kama Kiranga Kalamu1 Mag3 sijaona wakichambua masuala haya ya kimataifa na ningetegemea kuona mtizamo wao katika haya

Basi nawaambia kwamba

Watu wanaibeza sana US katika nyanja za vita, US hawana gwaride kuonyesha vifaa vyao ila vita vikianza utaona mengi ambayo macho hayajawahi kuona... Au Kama inafanyika inafanyika katika namna ambayo ni Siri sana !

Pia hatupaswi kuipuuza Urusi katika nyanja za kijeshi, lakini ni upuuzi kudhani Urusi inaweza mess up na Washington na Moscow ikabaki kama ilivyo... tunakosea sana! Hakuna Muungano ulikuwa unatisha kama USSR wadogo ninyi wengi humu !
Hakuna Taifa lilikuwa linatisha Kama Iraq ya Sadam Hussein! Au UMOJA wa waarabu chini ya Sadath wa Misiri. Lakin walikwama sehemu moja tu intelligence na uchumi…

Us kwa uchumi wake na teknolojia lazima Urusi itakuwa katika hali ngumu Kwa Urusi kusema iingie vitani nayo ibaki salama!!

Hata Asia ina safari ndefu kujifunza kutoka America na Ulaya kuanzia military technology,

Nitaendelea kwanini tunapaswa Kukataa vita! Maana nilivyoandika hapa kuna watakaosema natetea maovu Au vamizi za US kwingine Hapana nakemea sana kama nilivyokemea Afghanistan, LIBYA na sasa Nakemea Uvamizi wa Urusi Kwa Ukraine!!

Mimi Dr lwaitama
heshima kwako
 
Wewe ni mjinga
Kwa nn unampinga mwenzako eti hiyo vita "haitachukua muda mrefu kama unavyo dhani"
Unasema itachuka"saa kadhaa"
Mpumbavu kweli we nan amekupa hiyo guarantee ya kusema hivo??
We ni mtu wa ovyo huna uhakina na unachosema halafu unampinga mwenzako as if upo sahihi asilimia zote

Hayo ni maon ya mtoa mada tena kwa facts zake
Wewe nawe toa maon yako kwa facts zako
Halafu tulia
Hiyo vita ikitokea sisi ndiyo tutarudi kwenye huu uzi nakupima nani alikua na facts zenye ukweli

Next time hata ukianzisha uzi watu wana subscribe kabsaaa maana wanajua wewe ni mtu unaye tema madini vitu venye kueleweka

Mfano@Pascall kuna uzi alileta 2014 akisema mtu fulan atakuwa rais akatoa facts zake,ila alianza kusema ni tetesi tuu

Mtu Kama huyu akileta mada yake hapa siwez acha kumsoma maana najua ndani kuna madini mengi ya kufikirisha

Plz tuheshimu maon ya mtu sio kuanza kusema oooh ushoga mara hivi.......,!!!!!!
Achen utoto
Ayo madini kachimbe uuze Sanaa unabwabwaja nn apa
 
Kwanza Shikamoo Join the chain ya CHADEMA inaendeleaje!

Naona CHADEMA mmeshika msimamo kwamba mnasimama na Urusi nauliza Mbona mkitoa mifano ya democracy mnatolea ya USA, na mnaposhambuliwa mnaenda USA si Urusi?
sisi ni zero brained mkuu , yaan Chama kinashabikia demokrasia ila kinasapoti kiongoz dikteta , hii ndo inafanya hiko chama hakitoshika dola , hakijielew
 
IRAQ labda ilikua inaogopewa na IRAN na SYRIA labda
Kwamba US akiingia vitani na RUSSIA yale majengo marefu pale DC nakwengineko yatabakia kama yalivyo!!?
US ndio anatapatapa hv kuelekea mwisho wake
kwa huduma ya kujifurahishe bonyeza #
 
Hata dunia nzima ikiungana hawaiwezi Marekani. Ana uchumi imara na mkubwa mara kumi zaidi ya Uchina. Anasilaha ambazo hata malaika wanazishangaa. Kuonesha nguvu zake kiushawishi kawashawishi vijana wengi kuwa mashoga na kuamini Marekani hawezekani.
Kwakuwapa msaada wa vilainishi wamegeuka wapiga debe wake. Kwani kitendo wanachokifanya kwa vilainishi hivyo,huwapelekea kupata maambukizi ya Ukimwi. Wasipoiona Marekani kama mungu wao hawtapewa msaada wa ARVs.

Lakini kwa watu wenye akili zilizosalimika na upumbavu huo,wanamuona Marekani ni muharibifu wa ustawi wa dunia. Analeta machukizo ya kila aina. Anaharibu vizazi. Anaeneza mauaji kila mahali. Hakuna vita vinatokea duniani ila atakuwa na mkono wake humo. Huyo ni shetani wakulaaniwa na kila mpenda haki.

Kuwepo kwa nchi nyingine zenye/yenye nguvu kama zake au kumzidi,hapo ndipo dunia itakuwa salama. Ni muhimu kuiombea Russia, China na N.Korea zizidi kuimarika ili kuipusha dunia kugezwa watumwa wa Marekani kama Ulaya ilivyogeuzwa.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Tecno kwenye ubora wako....
 
Wewe ni mjinga
Kwa nn unampinga mwenzako eti hiyo vita "haitachukua muda mrefu kama unavyo dhani"
Unasema itachuka"saa kadhaa"
Mpumbavu kweli we nan amekupa hiyo guarantee ya kusema hivo??
We ni mtu wa ovyo huna uhakina na unachosema halafu unampinga mwenzako as if upo sahihi asilimia zote

Hayo ni maon ya mtoa mada tena kwa facts zake
Wewe nawe toa maon yako kwa facts zako
Halafu tulia
Hiyo vita ikitokea sisi ndiyo tutarudi kwenye huu uzi nakupima nani alikua na facts zenye ukweli

Next time hata ukianzisha uzi watu wana subscribe kabsaaa maana wanajua wewe ni mtu unaye tema madini vitu venye kueleweka

Mfano@Pascall kuna uzi alileta 2014 akisema mtu fulan atakuwa rais akatoa facts zake,ila alianza kusema ni tetesi tuu

Mtu Kama huyu akileta mada yake hapa siwez acha kumsoma maana najua ndani kuna madini mengi ya kufikirisha

Plz tuheshimu maon ya mtu sio kuanza kusema oooh ushoga mara hivi.......,!!!!!!
Achen utoto
Asante mkuu kwa kuliweka hili sawa,huwa naskip kusoma comment zake sababu ya hayo maneno yake ya kipuuzi puuzi,kila baada ya sentensi mbili ataweka neno 'ushoga' ni kama amekuwa addicted na hilo neno.Huwa anakera sana
 
Back
Top Bottom