Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

Wewe nakubaliana na mleta Mada Iran ilikuwa tishio
IRAQ sio IRAN ila ilikua tishio mbele yanani ya US UK ISRAEL au!!?
Kama IRAQ ingekua tishio sidhanii kama hata ISRAEL wangeweza kushambulia mitambo yao ya nyuklia kwamabomu kabisaa ambalo jambo hilo ISRAEL hajawahi na hatawahi kufanya mbele ya IRAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee lwaitama alipigwa mkwara enzi za magufuli hakuyumba leo hii kwenye bandikolake ashindwe hata kuweka namba ya simu hapana ngoja niendelee kujiridhisha
 
Dokta jipange sana unapoleta mijadala kwenye platform kama hiz ambapo watu wako free kuku hoji na ku challenge mawazo yako regardles umewaacha mbali kielemu but people knows.
Hii sio lecture hall ambapo neno lako halipingwi kwa kuogopa kufelishwa ....wala hii sio mahojiano kwenye TV station ambapo u can foresee questions za presenters ambao wengi wana ufaham limited.

TUKO TAYAR KUJIFUNZA TOKA KWAKO ILA JIPANGE MZEE WANGU
 
mataifa ya mashariki ya Ulya sio wajinga kumwaga damu kujiunga na WEST , Urusi anafanya maovu mengi kwenye uchumi na siasa za majirani zake , ova
Kwa hiyo hawa watu "wanamwaga damu kujiunga na WEST, kwa vile Urusi anafanya maovu mengi kwenye uchumi na siasa za majirani zake."

Na katika akili zako haiingii kabisa kuona kwamba Urusi na wao inabidi wajihami dhidi ya WEST anayezongea mlangoni kwake kwa nia mbaya?

Wewe unaona tu ubaya wa Urusi, lakini huwezi kuhoji yanayofanyika upande pinzani?
 
Huyu ni Dr azaveli lwaitama ninayemjua au ni lwaitama wa mchongo?
 
Wewe mchallenge tu kwa hoja,hiyo mikwara ya nini tena Mkuu?
 
Wewe mchallenge tu kwa hoja,hiyo mikwara ya nini tena Mkuu?
hapana mkuu Nyamizi .Mimi honestly ni mweupe sana kwenye mambo mengi na humu ni sehem ya kujifunza tu naitumia ndio maana sijawah kuwa na thread humu zaid ya kuchangia changia kwa mbali kama hivi 😂 😂 na kwakwel mnanifaa sana kwa mitanange yenu hsa kuhusu sakata la urusi vs ukraine.sasa kwa jinsi watu walivyo na nondo humu na mzee kasema yy ni mgeni humu ndio maana nimempa alaert tu kuwa ajipange maana vijana mko deep kwel kwel..wala sikua na lengo la kumpiga mkwala
 
Unatafuta nikupuuze kama vichaa wengine hapa.
hahaaa puuza tu maana huna hoja ya msingi unaambiwa ulaya ya mashariki , unasema kwan sehemu nyingine hakuna nchi , umehishiwa hoja
 
Nadhani umehitimisha uzi huu vizuri japo mleta mada kaishia ñjiani bila kufafanua
 
Depot kubwa ya Silaha za Marekani na EU zashambuliwa jana usiku [emoji23][emoji23]
 
Mwalimu! Ni lini US ameenda kuvamia nchi hv karibuni akiwa mwenyewe bila allies?? Marekani ameenda iraq na allies..ameenda libyaa na allies..afghanistan kote huko kaenda na wenzakee..mbona asiende mwenyewe!! Acheni kuikuza US kiasi hicho..ni kweli US wako mbal sana kijeshii..lakin Russia pia wako mbal mno..tena sanaaa..narudia tena..wako mbal mno..msije mkazani mrusi anavyofanya gwaride baas kamaliza kila kitu..ukwel n kwamba anavitu vingi mnoo...ambavyoo havioneshi..suala la kuonesha silaha kwenye gwaride au kutoonesha silaha ni utamaduni wa nchi husika..lakin pia historia ya nchi husika toka ilivyokuwa founded!! Watu wengi humu hatujui nini kinaendelea kwenye vita ukraine! Lakin kama ulimskiliza Putin kwenye hotuba yake unaweza pata picha halisi ya nn kilikuwa kinaendelea ukrain kabla ya uvamizi!! Russia ilikuwa inaenda kuangamizwaa na west! Shida sisi kina kayumba humu africa tunasikiliza media za west na kuziamni propaganda zao...very discouraging..
 
Labda tu huelewi, kwenye nuclear warfare silaha ikitumwa kutoka Moscow kuelekea Washington DC moja kwa moja na ile ya Washington DC nayo inaondoka kuitafuta Moscow.

Itakumbukwa kwamba Marekani ina kiasi cha nuclear warheads 3,000 ambazo tayari ziko deployed dhidi ya za Russia 2,000.

Ni ukweli usiopingika kwamba kwenye vita vya nyuklia hakuna mshindi.
 
Umeeleweka Mkuu
 
Pumba tupu. Bro. Punguza ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…