Booklets huwa zinatunzwa kwa miaka kadhaa, kuwanasa ni rahisi sana, labda miandiko iwe inafanana sana. Na haiwezekani miandiko ikafanana kwa asilimia zote.Chuo kitawezaje kuthibitisha hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Booklets huwa zinatunzwa kwa miaka kadhaa, kuwanasa ni rahisi sana, labda miandiko iwe inafanana sana. Na haiwezekani miandiko ikafanana kwa asilimia zote.Chuo kitawezaje kuthibitisha hili?
Hii sasa kamba, yaani mwandiko ubadilike ufanane na wako??Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
Wapewe tena pepa au vipiBooklets huwa zinatunzwa kwa miaka kadhaa, kuwanasa ni rahisi sana, labda miandiko iwe inafanana sana. Na haiwezekani miandiko ikafanana kwa asilimia zote.
Zile huwa zinatunzwa kwa miaka ya kutosha tu (sikumbuki ni mingapi), kuwakamata ni rahisi sana labda chuo kipotezee tu.Hand writing itawaumbua kweupe.
Ni mara chache wanafanana mpaka hand writing.
Kama karatasi zao za mitihani bado zipo watapokonywa degree zao peupe. Ikiwa karatasi zile za mitihani zimeshateketezwa watapona.
They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.Wala hakuna kesi hapo, na chuo hakitakiwi kuthibitisha jambo lolote, wahusika wameshakiri wenyewe, kinachofuatia hapo ni kuwafutia hayo matokeo yao.
Ujinga unaenda kuwaharibia future hao watoto, kama matokeo yakifutwa maana yake hata vyeti walivyopewa kwa kufaulu masomo havitakuwa valid tena, na kwasababu hiyo, hata kazini kama walipata kazi kwa qualification zao, wataenda kupoteza ajira zao/yao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wanafutiwa vyeti tu ikibainikaWapewe tena pepa au vipi
Walimaliza 2021 sio mbali mkuu.Unajua Handwritting forensic, Pamoja na fingerprint zinagharimu Kiasi gani?
NA booklets zinaharibiwa kwa miaka 10 ,Umejua lini walimaliza?
Je Chuo Kinaweza kujitosa kwa gharama ya kuchunguza Kitu kilichokwisha pata
Hao wanajulikana ni wa ARU class of 2021They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.
Hivi kumbe Bado degree Zina thamani? Mbona wenye degree wapo mtaani wengi tuu wanazurura, Je kama ni miongoni mwa hao waliopo mtaana hata wakifutiwa vyeti kwani watakuwa wamepungukiwa nini?Akihojiwa kwenye kipindi ,Pacha aliyekuwa anaisoma Chuo Kikuu Cha Udom pamoja na Mwwnzie wameingia matatani baada ya kuropoka kwamba alimfanyia Mwwnzie Mtihani wa marudio wa somo.la Hydrology baada ya kufeli Kwa kutumia kitambulisho Cha pacha mwenzake bila kutambulika.
Chuo Kikuu Cha Udom kusema baada ya kusikia mahojiano hayo kimeanzisha Uchunguzi wake kisha kitatoa taarifa rasmi ya hatua za kuchukua.
---
Kufuatia mahojiano na pacha waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu Ardhi wakieleza jinsi walivyoweza kufanyiana mtihani, uongozi wa chuo hicho umesema unafanya uchunguzi wa jambo hilo.
Katika mahojiano hayo ya Wasafi FM yaliyofanyika Machi 6 mwaka huu, pacha mmoja alikiri kumfanyia pacha mwenzake mtihani wa marudio (supplementary) wa Hydrolojia kwa kutumia kitambulisho cha mwenzake baada ya kufeli mtihani huo.
“Tulikuwa chuo sasa unajua chuo tunasoma kozi ambayo kuna masomo ambayo tunaendana kwahiyo sasa kuna somo moja ambalo linaitwa Hydrology tukawa tunaingia class moja lakini bahati mbaya mwenzangu akapata supp mimi nikawa nimetoboa, sasa nikamwambia hapo kwenye supp tulia nitafanya mimi [..] akanipa kitambulisho chake nikamaliza akatoboa supp na hawakuwahi kujua,” mmoja wa pacha alieleza.
Aidha, uongozi wa chuo hicho umesema baada ya kufanya utafiti na kubaini ukweli wa taarifa hizo, umma utajulishwa juu ya matokeo ya uchunguzi huo.
My Take
Pale Mjinga mmja anaporopoka upumbavu akidhani sifa kumbe amefanya kosa ambalo linaweza kumsababishia kufutiwa degree yake na kufikishwa kizimbani Kwa makosa ya udanganyifu.
Kuna watu wanaojiita Wasomi ila Wana ujinga mwingi kichwani kama Hawa pacha.
Unafikir Huwa ni Vyepesi kama unavyofikiriUshahidi against nani? Matokeo yanafutwa, hapelekwi mahakaman, labda wao waende waseme wameonewa.
Wanasiasa wameipotezea sioni wakiizungumzia kwahyo haina Publicity sana..Walimaliza 2021 sio mbali mkuu.
Hao mabinti walikosea, hii kitu itawapotezea muda.
Kwa nature ya nchi zetu, akitokea mwanasiasa hapo kati akalivalia njuga ili apate umaarufu hawatoboi hao.
Wangejitahidi sana basi wasikitaje chuo wala mtihani, sasa wao hadi mtihani wameutaja, muda wa kuufanya wameutaja.
Acha tusubiri.
Unafikir Huwa ni Vyepesi kama unavyofikiri
Wanasiasa wameipotezea sioni wakiizungumzia kwahyo haina Publicity sana..
Kwahyo haiwwzi kuwa hoja kisiasa na itakufa tu
Hii ni ishu ya kitaaluma uamuzi wa Chuo unaweza ukachafua Ama kuathiri chuo na sio hao graduate peke yake..Kabisa, nini kinashindikana? Kama Magufuli alichukua uchaguzi kwa ubabe, hili linashindikanaje?
Udaktari wangu wewe haukuhusu..Hivi ma Dr wa mifugo mu wajuaji sana?