Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Kesi ipo,na ushahidi utapatikana tu,kwa sababu wataenda kuangalia mitihani waliyofanya,kwa sababu huwa inahifadhiwa,then wanaweza kulinganisha miandiko
Chuo gani kinahifadhi mitihani ya toka 2020.

Hao jamaa wamefanya ujinga sana, lakini kuprove kosa lao ndio itakua changamoto. Hata kama kungekuwa na CCTV bado wasingekuwa na video za miaka minne nyuma.
 
Elimu inaposhindwa kumsaidia MHITIMU, basi suala hili likichukuliwa KISHKAJI ndipo ugumu unakuwepo lkn kama linachukuliwa serious!

Ukweli unabainika wazi. Kama aliongea ili KUNOGESHA kipindi ! Au alitenda kweli hicho kitendo.


Uchunguzi wake ni mwepesi mno.

1- Majina yao.
2- Nani alikuwa na Supp
3- chukua maelezo ya wote
4- uchunguzi wa maandishi.
 
Kama wana akili watumie chombo husika Kwa kusema ule ulikua utani na udaku ili wauze habari !

Inaweza wasaidia kuliko kukaa kimya kizembe!!

Waende haraka wasafi tv waseme ulikua utani kunogesha kipindi!!
Utani kwenye ishu serious kama elimu ya chuo kikuu?
Wameharibu hadi credibility ya degree zitolewazo Ardhi University(ARU)
Namwaminifu pro.Liwa hawezi ruhusu huo upuuz,lazima degree zifutwe
Wao waendelee na ubunifu wa mavazi...
Kwanza ARU walikwenda kufanya nn Wana mitindo?pale siyo chuo Cha sanaa Bagamoyo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom