Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa watanza uchunguz na sup.Kinacho chunguzwa ni kama kweli walisoma hapo au la. Kama mmoja wapo au wate walisoma hapo mwaka mmoja au miaka tofauti. Degree zao zitayeyuka, simple as that.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa watanza uchunguz na sup.Kinacho chunguzwa ni kama kweli walisoma hapo au la. Kama mmoja wapo au wate walisoma hapo mwaka mmoja au miaka tofauti. Degree zao zitayeyuka, simple as that.
Iv awachomagi kweli.Hawana cha kujitetea....
Kama kweli walifanyiana basi watadakwa tu.
Mitihani si ipo.
Na kama hawakufanyiana wana kesi ya kujibu wameichafua taasisi.
Mitihani inatunzwa kwa muda gani kabla haijateketezwa?Hawana cha kujitetea....
Kama kweli walifanyiana basi watadakwa tu.
Mitihani si ipo.
Na kama hawakufanyiana wana kesi ya kujibu wameichafua taasisi.
Mitihani yako yote toka mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa nne ipo......Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
Ulidhani wanachoma?Chuo gani kinahifadhi mitihani ya toka 2020.
Hao jamaa wamefanya ujinga sana, lakini kuprove kosa lao ndio itakua changamoto. Hata kama kungekuwa na CCTV bado wasingekuwa na video za miaka minne nyuma.
Examination office nyingi huwa zimakaa na booklets kwa miaka mitano nadhani sheria ndio inasema hivoChuo gani kinahifadhi mitihani ya toka 2020.
Hao jamaa wamefanya ujinga sana, lakini kuprove kosa lao ndio itakua changamoto. Hata kama kungekuwa na CCTV bado wasingekuwa na video za miaka minne nyuma.
Ndio walisoma huko?They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.
Yeah uzuri mitihani inahifadhiwaga hapo wakikagua vitu kama mwandiko n.k wanaweza ku-decodeKesi ipo,na ushahidi utapatikana tu,kwa sababu wataenda kuangalia mitihani waliyofanya,kwa sababu huwa inahifadhiwa,then wanaweza kulinganisha miandiko
Wamemaliza 2020s mitihani inatunzwa 12 years.Mitihani inatunzwa kwa muda gani kabla haijateketezwa?
Wamemaliza mwaka gani?
Wanahukumiwa na chuo sio mahakama.Kufika mahakamani wanasema ilikuwa furahisha genge kipindi kipate promo tu, huo ushahidi wa kuongea hivyo redioni haujitoshelezi
Kama kajiajiri Degree si hayo makaratasi. Unless wameajiriwa, ila kama wamejiajiri NO PROBLEM sababu kama walisoma kweli kila kitu kipo kichwani.Hapana degree hata kama umejiajiri hujui utaitumia lini elimu maana yake inakupa wide options unaweza usiitumie leo kuna siku itakufaa tofauti na mtu asiyesoma
Mdomo umezidi kichwa!Ila watu bhana maneno yako mwenyew yanakufunga mwenyew
Ulitaka afanye nini kwa mapacha wanao fanana kama haoMakamu wa chuo, ikitokea uchunguzi umemalizika na wamekutwa na hatia yeye ndio wakwanza wa mfano kuachia ngazi, maana kama hivi vitendo vinaendelea yeye hapo chuoni huwa anafanya nini?
Nenda YouTube.Hawakutaja chuo chochote.Ni watu viherehere vyao tu.
uchunguzi unafanyika,Chuo kitawezaje kuthibitisha hili?
Yeye kazi yake ni nini hapo chuoni, mpaka hayo mambo yanakuja kuwa public ?Ulitaka afanye nini kwa mapacha wanao fanana kama hao
Be specific ulitaka afanye nini!?Yeye kazi yake ni nini hapo chuoni, mpaka hayo mambo yanakuja kuwa public ?
Kwamba hafanyi kazi yake ipasavyo
Watakapohojiwa wanaweza kusema walitania tu kwa kuwa radio yenyewe ni ya udaku
Uyo makamu aachie ngazi tu, maana haya matukio yapo na watumishi wake wanayajuaBe specific ulitaka afanye nini!?
Njia pekee ni fingerprint kuweza kuwatofautisha mapacha wanaofanana.