Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Mbwembwe tu hizi kuwapoza wananchi lakini hizo degree wataendelea kuwa nazo.

Unafikiri wataweza kuthibitisha kama kweli?..

Mfano hao mabinti wakisema walikuwa wanafurahisha baraza..?

Subiri uone.
Wathibitishe nini tena wakati kuna admission, mea culpa.....Labda wajiridhishe ni kweli walikua wanafunzi wao then wa act accordingly tena suo motto.
 
Yaan chuo kiwahukumu vp mzee kwani nao wakienda mahakamani baada ya chuo kuwahukumu kama ulivyosema
Chuo ndio kimewapa degree na kinauwezo wa kuiitisha, sawa na kamati ya maadili iliyo mfungia fatma karume, sawa na mayala alivyo pigwa biti na bunge utaratibu wa rufaa sijui kama mahakama inaingia.
Hata hivyo kuna sahihi, miandiko na huo hicho walichokiri
 
Unaweza kukuta elimu hii hii tunayoidharau ndiyo hawa mapacha wameitumia vizuri na kuona loopholes za kisheria na kisha kucheza na akili za watu ili kutrend na hatimaye kufikia lengo lao wanalolijua wenyewe. Sidhani kwamba wameongea hivyo bila kujua legal implication na pia repercussion yake kwa ujumla kwenye jamii na mstakabali mzima wa maisha yao.
wakifungua tu midomo unaona wanatema chenga sema wamepata nafasi ya kusoma.
 
Chuo ndio kimewapa degree na kinauwezo wa kuiitisha, sawa na kamati ya maadili iliyo mfungia fatma karume, sawa na mayala alivyo pigwa biti na bunge utaratibu wa rufaa sijui kama mahakama inaingia.
Hata hivyo kuna sahihi, miandiko na huo hicho walichokiri
Unajua neno "ushahidi usiotia shaka"😅😅
 
Hamna lolote mkuu, kwenye mwandiko napo pia ushahidi wa moja kwa moja haupo
Labda lakini kama ni familia hoe hae hao wanaenda na maji, itokee bahati siku hiyo mwandiko usifanane na siku zote, siku hiyo hiyo na sahihi attendance ya mtihani isifanane na siku zote, bado ukili kwa kinywa chako.
Na huo huo mwandiko ufanane na anayedai alikufanyia.
Sio poa
 
They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.
na ndo maama hata wao "chuo cha Ardhi" wamegundua kuonyesha huo mtego wanaujua,ndo' maana wakaweka " & ".Hizo bachelor walizosema hazitolewi chuo chochote cha kati.
 
Hao wanaweza kukataa tu kirahisi kwamba walikuwa wameongopa kutafuta umaarufu.
Ila hawana akili na wasafi FM pia hawana mhariri wa vipindi ni uhuni na utoto tu.
Ona Sasa wanaenda kuwaharibia maisha hao wajinga. Wawape Akira hapo wasafi wakifutiwa degree zao.
kutafuta umaarufu kwa kuchafua taasisi ya Umma?Kichwani humo kuna ubongo au kamasi?
 
Unajua neno "ushahidi usiotia shaka"😅😅
Huo ushahidi usio tia shaka unahusika na kwenye examination office inayoenda kuamua!? Au unafikiri ni mahakama inaenda kuamua.
Kukamatwa tu na kikaratasi umesha disco huo ushahidi usio tia shaka huwa uko wapi!?
Huo ushahidi usio tia shaka ni kwa watu wenye pesa.
Wewe utafungwa hata kwa kusingiziwa kama huna malundo.
 
Back
Top Bottom