Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
Mitihani yako yote toka mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa nne ipo......
Ni mtihani mmoja tu ndio ulibadilisha mwandiko ukafanana na dada ako?
Afu baada ya hapo ukarudia mwandiko wako wa zamani?
 
Chuo gani kinahifadhi mitihani ya toka 2020.

Hao jamaa wamefanya ujinga sana, lakini kuprove kosa lao ndio itakua changamoto. Hata kama kungekuwa na CCTV bado wasingekuwa na video za miaka minne nyuma.
Examination office nyingi huwa zimakaa na booklets kwa miaka mitano nadhani sheria ndio inasema hivo
 
Hapana degree hata kama umejiajiri hujui utaitumia lini elimu maana yake inakupa wide options unaweza usiitumie leo kuna siku itakufaa tofauti na mtu asiyesoma
Kama kajiajiri Degree si hayo makaratasi. Unless wameajiriwa, ila kama wamejiajiri NO PROBLEM sababu kama walisoma kweli kila kitu kipo kichwani.
 
Back
Top Bottom