Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
Hii sasa kamba, yaani mwandiko ubadilike ufanane na wako??

Wakiwakomalia kesi kwa hiko chuo chao wanayo, vyuo kadhaa nilivyoona huwa wana utaratibu kama wa kimahakama.
Mwanafunzi unakua na mtetezi na jopo la wakufunzi na wasimamizi wa hiko chuo wako hapo, mashahidi nk.
Utatuhumiwa na utapewa nafasi ya kujitetea ila mara nyingi maamuzi yanakua yashafanywa kabla, inakuaga ngumu kupindua chuo wakikukazia.

Ila wana nafasi kubwa ya kushinda japo ni kitu kitawapotezea muda kijinga.
 
Hand writing itawaumbua kweupe.
Ni mara chache wanafanana mpaka hand writing.

Kama karatasi zao za mitihani bado zipo watapokonywa degree zao peupe. Ikiwa karatasi zile za mitihani zimeshateketezwa watapona.
Zile huwa zinatunzwa kwa miaka ya kutosha tu (sikumbuki ni mingapi), kuwakamata ni rahisi sana labda chuo kipotezee tu.
 
They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.
 
Unajua Handwritting forensic, Pamoja na fingerprint zinagharimu Kiasi gani?

NA booklets zinaharibiwa kwa miaka 10 ,Umejua lini walimaliza?

Je Chuo Kinaweza kujitosa kwa gharama ya kuchunguza Kitu kilichokwisha pata
Walimaliza 2021 sio mbali mkuu.

Hao mabinti walikosea, hii kitu itawapotezea muda.
Kwa nature ya nchi zetu, akitokea mwanasiasa hapo kati akalivalia njuga ili apate umaarufu hawatoboi hao.
Wangejitahidi sana basi wasikitaje chuo wala mtihani, sasa wao hadi mtihani wameutaja, muda wa kuufanya wameutaja.

Acha tusubiri.
 
Hivi kumbe Bado degree Zina thamani? Mbona wenye degree wapo mtaani wengi tuu wanazurura, Je kama ni miongoni mwa hao waliopo mtaana hata wakifutiwa vyeti kwani watakuwa wamepungukiwa nini?

Na je kama walishachoma vyeti moto, au pengine wamejiajiri, itasaidia nini au itawapungizia nini Kwa mfano?

Maprofesa wengi ndo washamba wanazanigi skuizi degree Bado zipo sokini au zina thamani kama enzi zao, wanafatiliaga upuuzi ambao hauna maana wakizani wanakomoa au wanatoa fundisho kumbe ni ulimbukeni wa kizamani tuu

UNAFATILIAJE KITU USELESS?????
 
Wanasiasa wameipotezea sioni wakiizungumzia kwahyo haina Publicity sana..
Kwahyo haiwwzi kuwa hoja kisiasa na itakufa tu
 
Kabisa, nini kinashindikana? Kama Magufuli alichukua uchaguzi kwa ubabe, hili linashindikanaje?
Hii ni ishu ya kitaaluma uamuzi wa Chuo unaweza ukachafua Ama kuathiri chuo na sio hao graduate peke yake..

So chuo sio wajinga kutoa barua mapema hivyo..
Na hata uamuzi wa chuo wowote utaathiri baraza la kitaaluma na hata Baraza la senate la chuo hicho so lazma jibu lije baada ya kukaa na walengwa ili kutokuchafua taswira ya Chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…