Hakuna kitu kama hicho, Hela lzm utoe, ingewezekana kufanya hivyo ulivyoshauri wanaochangia wangeneemeka.Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa
Mfano St francis mbeya
Marian bagamoyo
St joseph dar es salaam
Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..
MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI WANAOSOMA ST FRANCIS AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Umejuaje kama ameteleza? hua mnawashwa bila kuingiza imani zingine mnapoongelea mambo yenu?Ameteleza nakiri kwa hilo kama yeye atakuwa mzito kukiri kosa hili.
Tuvumiliane.
WauminiVyanzo vya hayo mapato sasa
🤝🏾🤝🏾🤝🏾Umejuaje kama ameteleza? hua mnawashwa bila kuingiza imani zingine mnapoongelea mambo yenu?
Acha utetezi wa kipumbavu hapa,eti ameteleza.
🤣🤣 Tuliosoma Cuba tumeelewa hii ni SARCASM. Kiukweli bado uislamu itazidi kuwa imani bora zaidi. Ina mapungufu machache sana.... wakristo kwenye maokoto tumetekwa mno na shetani. Sasa sadaka zote hizo si ni utapeli mtupu? Hiyo bahasha ya noeli ya kazi gani?Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.
PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Sikujua kama kiswahili ni kigumu kiasi hiki.MKIAMBIWA TOZO KWA AJOLI YA KUJRNGA SHULE MNAMTUKANA MWIG9LU OKA TOZO ZA KANISANI MNASHDNGOLIA, HSKAGU MISH8LE WANAYITNDA WATOYI WENU KANA MAGOGU YA AMBONI.
KWELI MWAFRIKA ANA IQ YA 80.
Kwanini unalalamika kama unafanyaNifanye mara ngapi?
Kwanini unalalamika kama unafanya
Kwanini unalalamika kama unafanya
Sio kiswahili bali typing error.Sikujua kama kiswahili ni kigumu kiasi hiki.
Umeweka vizuri mkuu, nami kwangu kuna aliyetoa 2.5m+.Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.
By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
Siyo tunawaombea tu,hata wao huko walipo wanatuombea sisi huku duniani,hata wewe nduguzo unaokataa kuwaombea hawachoki kukuombea,nenda kasome Luka 16:31 itafakari kwa kina uje na jibu hapa au naweka nukuu kwa wale watakaoshindwa kuifikia kwa wakati,nitaanzia mstari wa 22Mbona mnaombea wafu, mnauhakika wanawasikia..?
Mkuu kinyume chake Vatican huwa inatuma hela kila nchi bajeti ikipelea .mm nimesoma Consolata seminary nlikuwa najiuliza hivi kwa nn tunalipa laki mbili kwa mwaka wakati hara Private ya kipuuzi zinalipa 1m kwa mwaka .nkaja ona bajeti yaani 80% hela inatoka kwa wafadhil wakatoliki wa italy na ndo maana hata uende kijijini maskini vipi utakuta kanisa katoliki ni viwango vya maanaHapo zinapelekwa vatican wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.
Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo ni kanisa langu ila umenichekesha kweliMavuno neno tamu sana hili yaani wamevuna
Afu wewe mfuasi wa allah wanaurudishia unajengewa shule vyuo vikuu hospital uondoe ujinga na uwe na afya njemaHapo zinapelekwa vatican wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.
Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah nyie watuNaona Askofu anakenua tu anajua hapa ni uhakika!!
Wanatusikia tena vizuri sana ndioMbona mnaombea wafu, mnauhakika wanawasikia..?
Duh.!Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.
Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.
Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.
PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
Ndio mkuu yaani kanisa ni kama shamba unakuwa unavuna tu kila siku!Mavuno neno tamu sana hili yaani wamevuna