Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Mambo ya Ali Nacha.

Amandla...
 
hao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
Nakazia kwa kusema atuamvie mpaka sasa wameshauza copy ngapi au Wana views ngapi?
 
Siami kama Taifa ndipo tulipofikia tunabet kabisa yaani

Na hatuna tofauti na qnet kabisa.

Hii mada imenisikitisha mno.
 
Hakuna kama Rais Samia nasema siku zote hili,
Hiyo filamu itakuwa itauzwa kila mwaka? Au hii propaganda imelenga akili ndogo?
 
Hiyo filamu itakuwa itauzwa kila mwaka? Au hii propaganda imelenga akili ndogo?
Yes, film will be there to stay,

Mpaka watoto wako wataikuta pale,

And they Will also buy,
 
Hizi hesabu sijui mnatoaga wapi, na kwa akili yako inaonekana Amazon hawapati chochote, FYI 99% ya pesa itabaki Amazon
Kamuulize lisu kishasema kuna utitiri wapesa nindefu bado wewe waufipa unaendelelea kubisha haya endelea haya ndio mambo yakutafuta pesa sio kuzulumu wavuvi unateka malizao alafu waje wakomboe ndioupate hela mwambieni mpina ajifunze kwa mama huyu
 
Kamuulize lisu kishasema kuna utitiri wapesa nindefu bado wewe waufipa unaendelelea kubisha haya endelea haya ndio mambo yakutafuta pesa sio kuzulumu wavuvi unateka malizao alafu waje wakomboe ndioupate hela mwambieni mpina ajifunze kwa mama huyu
naungana na wewe mkuu wangu 🙏🙏🙏
 
Ni documentary sio movie kama za kanumba
 
Huu ni ujasiliamali wa mama nyie subirini watalii,
 
Umejuaje kuwa ni mali ya Tanzania kwa 100%
Kama hakuna anayejua gesi ya mtwara ni mali ya Tanzania au la, pia hakuna anayejua kama dhahabu ya Geita ni mali ya Tanzania au la, kivipi unakuja ghafla tu kusema filamu ni mali ya Tanzania?

Wewe ndio msemaji wa serikali?
 
Mkuu hilo nalo unahitaji ushahidi kweli?!
 
Nina wasiwasi kwanza tujue gharama zilizotumika pia fahamuni kuwa mrahaba wote ni wa yule aliyetengeneza sisi hatuna chochote zaidi ya mbuga,wanyama na raisi wetu kuonekana kwenye runinga za weupe huko majuu sisi hatuna cha kuonyesha kupita makala za vivutio kwa mfano kutoka misitu ya Amazoni,mbuga ya Kruger,Okavangu au Madagascar, kelele zote za sijui Royal Tour haziingii hata thamani ya makala hata za mbunge kama Trans Mara.
 
Mkuu hilo nalo unahitaji ushahidi kweli?!
Bila shaka linahitaji ushahidi sababu serikali inafanya mikataba kwa usiri.

inaweza kuwa nchi imeuza copyright kwa kampuni binafsi (hata kama ni kwa nia nzuri), na nchi ikabaki tu na target ya kuvutia watalii kupitia filamu lakini sio mapato ya mauzo ya filamu

Sasa huyu mwenye uzi yeye kajuaje kuwa serikali ndio mmiliki wa filamu tena kwa 100%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…