Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Pole sana 😂😂
Kwahiyo posho ikaishia kuwa ya kutembelea bure aisee

Ila wanawake mkipenda 🤗hamshindwagi kitu
 
Nayajua ila kwenye ishu ya safari hawakosi nauli kikubwa awe anakukubali. Kama hana abaki tu maana Wana saundi nyingi sana, unatuma nauli anakuambia kuna test mara presentation hawezi kuja na hawezi kurudisha hela.

Hahahahaha sasa kwanini u date na wazinguajii wanaokula nauli sema na wewe ni Kabahili tu
 
Story si upige na washkaji hapo kitaa?
 
Wanawake wanaojimudu wengi hawako romantic, wako busy, age zimeenda, ni single mothers, wana vitambi nk. Ndio maana tunatuma nauli kwa pisi za chuo.
 
Wanawake wanaojimudu wengi hawako romantic, wako busy, age zimeenda, ni single mothers, wana vitambi nk. Ndio maana tunatuma nauli kwa pisi za chuo.
demu anae shindwa kuingia mfukoni kutoa hata 50 ya nauli ? kifurushi tu hicho.. hao mademu wa chuo nimetomber sana .. ila wanajiongeza mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…