kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ukute alikua anaomba Mungu ni lini utamuachaSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Alikuwa na Wewe Kwa kujikazaπ€£π€£π€£π€£π€£Ukute alikua anaomba Mungu ni lini utamuacha
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa TaifaSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Ahahaha. Mungu anifunge speed governor tuu.Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Naona wanakuwa na wengi siyo bureWana GLOW kwa msemo mwingine π€£π€£π€£
Mh! Sasa kwanini asingeanza kusema yeye jamaniUkute alikua anaomba Mungu ni lini utamuacha
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata π.Alikuwa na Wewe Kwa kujikazaπ€£π€£π€£π€£π€£
Hata mimi tangu nimejitambua siumizwi na mapenzi ni vile tu nashangaa hili tukioAshukuriwe Mungu mapenzi hayajawahi kunitesa,hela dada helaπ€π€π€π€
Nikikosa Hadi huwa naliaπππππππ
Aliyegundua pesa anajizidishia tu nafasi za kujitafunia bikra 72 wenye macho makubwa kodo kama goroli na mito ya Heineken tele peponi kwa kuumbua unafki wa Ke kuwa "No money no honey"... Duuuh π€πSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Nilikuwa namaanisha ila nilitaka kubembelezwa ili nigairi, ndiyo kaondoka hivyoππ₯²Unatikisa kiberiti! Mtu anaondoka jumla jumla na haangalii nyuma, kushoto geuka vuuu
Kilio chako kimesikikaMOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa