Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Kumbe ndiyo maana ukaamua kuingia kijijini kaka kufurahia asili maana mambo ya mjini yalitaka kukutoa roho
 
Umenikumbusha mbali sana, kipindi kama hicho pambana ukweni , pambana kwa rafiki zake wachungaji wake nikidhani atarudi lakini wapi, mahakamani nikaenda weka pingamizi lakini wapi, baraza la kupatinsha, yani pote huko mtu unajivua vyeo vyote muweke sawa mambo lakini vikagoma.. Moyo ulipo choka ndio ikawa pona yangu
 
Kumbe ndiyo maana ukaamua kuingia kijijini kaka kufurahia asili maana mambo ya mjini yalitaka kukutoa roho
Ndugu yangu!! Kama sikutokwa na roho kipindi kile, hakyanani, namhurumia sana mwanamke atakayekuja tena kwenye maisha yangu, namuonea huruma sana. Nafikiri inabidi nipate muda wa kuomba sana Mungu anitengeneze upya huu moyo, hauko normal anymore. Ni kama umekufa kabisaaaa kwa habar ya hisia za upendo japo nina huruma naziona
 
Jipe muda kwasasa

e
 
Back
Top Bottom