Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Sijui ni kwanini mtu ukiwa muaminifu unapata mtu asiyejali wala kuthamini upendo wako
 
. Moyo ulipo choka ndio ikawa pona yangu
Hakika na mimi leo hii ndio nikajua ule inawezekana ulikua mpango wa Mungu na ndio imekua pona pona yangu.
Naiona pesa yangu.
Naiona afya yangu
Naiona freedom
Naziona hatua nazopiga kwa kasi mnoo

WAtoto wangu watatu ninao somesha ,haikuwah tokea nimemaliza kulipa school feez zao kabla ya July kama ambavyo nimeweza mwaka huu ndani ya miezi 8 toka tuachane. Am making it in life soo effortlessnesvelly compared to when i was with her.
 
Wakati mwingine, kujifunza kuachia mambo yaende. Huwezi jua unapeshwa na nini, au Mungi akuandalia nini mbeleni
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Wengin tulipenda kitambo Sanaaaaa, Saiz tupo kama maroboti vile. Sijuh ntakuja kupenda tena lin
 
Wakati mwingine, kujifunza kuachia mambo yaende. Huwezi jua unapeshwa na nini, au Mungi akuandalia nini mbeleni
Yeah sure. You are very right. Nilikua jijin last week kuwaona watoto na yeye pia nikaonana nae, i felt sorry for her. Very sorry indeed. Sina namna ya kueleza ila kiukwel hakunivutia kabisaaaaa ile kutoka moyoni nikamuonea huruma.
 
Options zimekuwa nyingi sana mitandao imesogeza umalaya karibu zaidi Unakuta mtu ana magroup ya stage zote alizowahi kupitia katika maisha yake

Group la shule ya msingi , Group la 0 level/ A level group la Uni Bado group la kazini na kote huko ana ma-ex !!! Can you imagine!?

Bad enough ana experience ya kutosha sana ktika mahusiano, amesha Toka na wanawake/wanaume hamsini Moyo umeshakuwa kama jiwe do you think utamfanya nini mtu kama huyo
 
Back
Top Bottom