LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Kabiiiiiiisa chief. I need that. Najiona kama nimekua bandidu sanaJipe muda kwasasa
e
Kabiiiiiiisa chief. I need that. Najiona kama nimekua bandidu sanaJipe muda kwasasa
e
Hongera sana mkuu. Acha ajifunze maisha..Yeah sure. You are very right. Nilikua jijin last week kuwaona watoto na yeye pia nikaonana nae, i felt sorry for her. Very sorry indeed. Sina namna ya kueleza ila kiukwel hakunivutia kabisaaaaa ile kutoka moyoni nikamuonea huruma.
Sasa hata hivyo itabaki kuwa mimi ndiye niliyempiga chiniHapo angekubembeleza ungeanza kumringia na kumuona lofa, na muda si mrefu wewe ndio ungempiga chini!
Haya mambo ni tricky sana
Sina hizo tabia mkuu, ila tu sikuwa na mtu sahihi hakuwa na future plansKama una tabia chafu, ni ombaomba, mdomo sana nani asikite kukuacha
Ndo umetoa mfano kama ng'ombe an hujali unaachia huku unasepa ahahahaMambo mengi mda mchache.
Kweli hakuna kipya kwakeOptions zimekuwa nyingi sana mitandao imesogeza umalaya karibu zaidi Unakuta mtu ana magroup ya stage zote alizowahi kupitia katika maisha yake
Group la shule ya msingi , Group la 0 level/ A level group la Uni Bado group la kazini na kote huko ana ma-ex !!! Can you imagine!?
Bad enough ana experience ya kutosha sana ktika mahusiano, amesha Toka na wanawake/wanaume hamsini Moyo umeshakuwa kama jiwe do you think utamfanya nini mtu kama huyo
Watu wapo sahihi ila ndo hvo... Wapenda mimamaSina hizo tabia mkuu, ila tu sikuwa na mtu sahihi hakuwa na future plans
Ila mwamba kaondoka na dignity 👍 huoni mpaka umekuja kumfungulia uzi? Angekulilia ungekubali ila ungemdharau kuanzia hapo.Sasa hata hivyo itabaki kuwa mimi ndiye niliyempiga chini
Umeshamove on kwa ss upo na kitoto kibichi kinakuliwazaYeah sure. You are very right. Nilikua jijin last week kuwaona watoto na yeye pia nikaonana nae, i felt sorry for her. Very sorry indeed. Sina namna ya kueleza ila kiukwel hakunivutia kabisaaaaa ile kutoka moyoni nikamuonea huruma.
Dah! Hili limeniumiza sana😌😪😹😹Ukiona hivyo Ulikua mzigo mshkaji wangu. Kiuchumi na kimapenz 🤣🤣 Yaan kitandani pia ziro..
Badirika bro
Ahahaha..ujue ukiwa muadilifu sana, unaona hakuna maisha tena nje ya uadilifu. Kumbe yapo bwana. Japo saa hii ni gusa achia twende kwao. Attachment is dangerous kwasasaUmeshamove on kwa ss upo na kitoto kibichi kinakuliwaza
🎯 🎯 🎯 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣Mapenzi ya siku hizi ni kama umeme wa tanesco kwahy lazima uwe na kajenereta pembeni
Kwa tahadhali kabisa mkuu...ila angalia usinase Tena kwenye tundu bovuAhahaha..ujue ukiwa muadilifu sana, unaona hakuna maisha tena nje ya uadilifu. Kumbe yapo bwana. Japo saa hii ni gusa achia twende kwao. Attachment is dangerous kwasasa