kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #101
Pole sana mkuu, ila naamini kila sehemu Mungu huwa anatupitisha kwasababuMimi wa ujanani aliniacha kwa dharau sana sema hakunisumbua sababu hatukuwa na Mali za kusumbuana (ila alibeba Kila kilichokuwa ndani akaniachia kitanda tu) nikasema nenda, kama utani vile mpaka sasa imebaki historia,. Alitumia njia nyingi kujipenyeza ili arudi lkn wapi! Nilikaa kisela mwaka mmoja nikaoa kitoto kibichi nikawachukua wanangu mpaka sasa maisha yanaendelea na shemeji yenu kanizalia wengine wawili maisha yanasonga. Ila bro kuachana na mwenza mliekaa nae kwa kipindi kirefu halafu mnawatoto ni kitu mbaya sana kidogo initoe kwenye mstari!