Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Mim kuna mmoja nilimwambia atafute mtu,kweli bhana akatafuta kimya kimya siku moja nikawafuma usiku wanaenda maghetoni kulana,nikachukulia poa
Nimefika gheto,moyo ukaanza kuniuma,nikamtumia sms kimya akajibu kesho yake saa 6 nikaamin kweli kitu imechapwa,niliteseka sana moyo uliniuma mno mpaka nikataman anifanye japo spare tyre
Mjinga yule aligoma hata kukutana na mim kwa wakat huo hata nipoze moyo kwa kuongea nae
NIkamaliza mwezi mzima wa mateso nikaanza msahau mara ghafla yeye tena ndo akaanza nisumbua,na mim nikaanza kumgomea kukutana nae ila kisiasa,ila akitaka hela namtumia
Yaan mpaka leo penzi limeisha hvyo,ingawaje tulkuwa tunapendana sana sana