kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #161
Inasikitisha sanaMalaya hawezi akaachwa, akaumia
Inasikitisha sanaMalaya hawezi akaachwa, akaumia
Mwenye kujua thamani ya familia na ndoa hua ni mwanaume, na ndio maana huwa tunakuwa wahanga sana kuliko wao kwenye case kama hizo. Huwa tunafanya chini juu ku protect ila ndio hivyo mwanamke akisha anza seke seke.. ujue nje kuna jambooo😂😂😂
MKuu hakuna kitu sikufanya kuinusuru familia. Hakipo. Imagine magoti mbele za watu..
Nakumbuka mwenyekit wa Baraza yule manzi akasema "aisee wewe (akamtaja jina ex yf) huyu kaka mbona anakupenda namna hii , kwan kakufanya nini mpaka mkafika hapa? Maana katika madai yako yooote tuwe wakwel hKuna la maana kukufanya upewe form no.3 ya kufungua shauri la kuvunja ndoa!. Wewe tuambie tu kama kuna mtu wa tatu kaingia hapo kati ndio anakuvuruga.😂
Upo sahihi kabisa, sikuwa kwenye mipango yakeBasi alikua hakupendi na hakua na ndoto ya kufika mbali na wewe
Duh! Mbona mnatukomeshaYaan hapo Beki zimewekwa Sub km zote ukiomba poo tu anaingizwa ingizo jipya wewe nenda kakae bench kidogo uangalie kabumbu ukiwa nje ya uwanja si umechoka kucheza wewe? Kaa nje ya uwanja uangalie kinachoendelea
Ni mindset tu mtu mwenyeweUkishaumizwa sana na mapenzi moyo unakuwa sugu
Mimi sijajigamba wala nini ila sababu ni nyingi mno za kufanya hivyo, endapo angezirekebisha tusingefikia hapoHuu ni ushindani wa watu wasiojitambua. Kwamba wewe kumpiga chini kunakuongezea nini!
Ujue kuna mtu anakuchoka, anatengeneza mazingira umpige chini ili usiumie.
Safi sana,hii nimeipenda- Nimejifunza kutokana na maumivu yaliyo pita.
- Nimeshagundua maisha ni mafupi.
- Nimeshagundua mim niwasamani, inabidi nijipende niwe na furaha yangu nasio kutoka kwa mtu.
Nastakuja kuumia tena kamwe wala kung'ang'ania mtu alienichoka.
Huwa tunaumia mara moja tunapata funzo.
Kuboresha penziNimnunulie ng'ombe wa nini sasa mkuu?
Hapana waifuSiku hizi mmekuwa wakatili sana
Atanishusha vyeo siwezi kufanya hivyo kwanza kwa mtu mwenye kiburiKuboresha penzi
Sasa we ulitaka akulilie 😂😂😂Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Shida ni nini hadi mnakuwa hivyo?Hapana waifu
Nilitaka tukae chini tuyajengeSasa we ulitaka akulilie 😂😂😂
Nimemuacha aende kwa amani, nina imani ana furaha huko alikoAlishakuchoka, alitafuta tu mahali pa kuondokea.
tumejifunza kupitia ninyi, hatutaki stress za mapenzi.Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata .
Halaf baraza lilija wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! .
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
Ahahaha nowadays "no love no stress" slogan is applied indeed ukiachwa achika 😂😂😂Nilitaka tukae chini tuyajenge
Dah! Inasikitisha sana hii sloganAhahaha nowadays "no love no stress" slogan is applied indeed ukiachwa achika 😂😂😂
Kama umeniacha alafu unategemea niyumbe huo ni uchawiw... Uchawi namba 2 ni wewe uliyeniacha kuumia kwa kuona mimi uliyeniacha nainjoi 😄Shida ni nini hadi mnakuwa hivyo?
Kwa kweliii Sasa hiv suala la kuachana mbona ni kama kunywa maji TU 😂😂😂Dah! Inasikitisha sana hii slogan