LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Bora ujifunze kupitia wengine aisee. Ukingoja yakukute gharama ni kubwa sana 😂tumejifunza kupitia ninyi, hatutaki stress za mapenzi.
bora pesa ndo iniwazishe kuliko kamdada hata nyashi hakana au mdada mwenye nyashi afu hana hakili