UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 327
- 421
Sisi tulioanza kuonja chungu kwenye uchumba TU tunaelewaa ππNi ngumu ndo tunajaribu kama inawezkn mkuu,, ikiwa khery itapendeza, kama sio basi
Sisi tulioanza kuonja chungu kwenye uchumba TU tunaelewaa ππNi ngumu ndo tunajaribu kama inawezkn mkuu,, ikiwa khery itapendeza, kama sio basi
Basi mtajuana wenyewe ungemwambia ivyo angekubali Sasa ushamwabia muachane YEYE akakubali matokeo , mpigie simu kama unampenda kweli ila kama haumpendi unataka attention kwake mkaushieWala sijafanya hivyo mimi nilitamani tukae chini tuyaongee yaishe lakini mwenzangu hakutaka suluhisho
Kwanza tambuaSisi tulioanza kuonja chungu kwenye uchumba TU tunaelewaa ππ
Yaani niache kula chips mayai na mishikaki plus Pepsi Lisa mtt wa mtu? No watSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
πππππ Jamn mbona unanikatisha tamaa mapema etMimi sijui maana siyo mlaji, waulize walajiππ
Hakuna mwenye mpenzi mmoja siku hizi labda awe mcha Mungu sana lakini asiwe single. Masingle wote ni foleni hapo ulipo hadi UjijiSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Ruhusa nimekataa kutoa πNjoo nikupooze ila muombe ruhusa Binti wa zamani
Basi narudi nyumbani,Kwanza nimelewa mshahara umeisha se deni la Ada sijalipa.Ruhusa nimekataa kutoa π
Baki huko huko tu πBasi narudi nyumbani,Kwanza nimelewa mshahara umeisha se deni la Ada sijalipa.
Nitalipia na transport allowance na air time.Baki huko huko tu π
Nitalipia na transport allowance na air time.
For sure mamii
Acha BangiHooe nikipata ujinga mtupu sijui nilijiungaje hapa
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa
π€π€π€π€Kuna mwanamke mmoja mfupi anakichwa kikubwa nimetoka kumuambia tuachane hajatetereka,anakuma tamu sana,natamani niombe samahani ila siwezi π
Hakuwa na red flagsPole sana mkuu, na wewe kwanini ulimwambia atafute mtu mwingine au alikuwa ana red flags nyingi?
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππMOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa