Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Sasa kwani we ndo mpenzi wake wa kwanza
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Sasa unataka kuacha mtu makusudi ili ahuzunike au? Unaambiwa siku hizi hakuna mtu wa mwenziwe, sasa ni kushare tu na kupeana UTI mtindo mmoja.
 
We uliacha yanini kama hukuwa tayari? Watu wa aina yako hufurahia sana mtu akiteseka, mnajivisha umuhimu mkubwa ndani ya maisha ya mtu kitu ambacho si sahihi na hii ipo sana kwa wanawake hasa wakishajua wanapendwa.
 
I thought angetaka suluhisho, lakini naona alikuwa na plan B, kweli sikuwa napendwa🥲
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
U lipo kuwa, nae,MLI kuwa, mna share na mwingine, ukiondoka, hatetereki
 
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!

Mimi nishasema kama hatuwezi kuongea yakaisha kati yangu mimi na mpenzi/Mke wangu Hilo husiano Limeisha
 
Just imagine yeye mwanaume ndiyo ana kosea zaidi na hataki suluhisho anakaa kimya, hasira zimimuisha ndiyo anakutafuta hivi hayo mapenzi mnaweza kuendelea kweli?
 
I thought angetaka suluhisho, lakini naona alikuwa na plan B, kweli sikuwa napendwa🥲

Kuna manzi mmoja alitingisha kiberiti miaka 2 iliyo pita, Hakuamini nilivo accept wazo lake, baada ya wiki 2 ananipigia simu ikapokerewa na sauti nyororo ya mtoto wa kimeru.

Pamoja na kusema nilikapenda, Ila siwezi kubembeleza mahusiano mimi.

saivi, amebaki kua status viewer tu
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
1754026537132.jpeg

---
 
Kuna manzi mmoja alitingisha kiberiti miaka 2 iliyo pita, Hakuamini nilivo accept wazo lake, baada ya wiki 2 ananipigia simu ikapokerewa na sauti nyororo ya mtoto wa kimeru.

Pamoja na kusema nilikapenda, Ila siwezi kubembeleza mahusiano mimi.

saivi, amebaki kua status viewer tu
Pole yake sana, unajua kuna muda sisi wanawake tunaendeshwa na mihemko au niseme hisia sijui, huwa tunaweza kufanya maamuzi bila kufikiria mbeleni itakuwaje, ila mimi naona tu nilikuwa sahihi kwasababu tupo mbali just imagine mnakaa hata 4months hamuonani, hivi si ntakuwa nacheatiwa huko aliko?
 
Kama anasubiri hasira zimuishe ndo muongee huyo mzuri. Sasa unaongea nini na mtu ukiwa na hasira, si utamtukana tu/Kumpiga
Sasa ukilala na hasira huoni kama ni tatizo, je huyo unaemkasirikia akafariki?
Katika kitu sipendi na sitawezana na mwanaume anayeweza kulala huku hatuna amani.
 
Back
Top Bottom