Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
haiwezekani kabsaaaa, na sasa naamini anajuta maana akili za watu bhana wanazijua wenyewe
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
kumbuka kila mtu anaingia kwenye mapenzi akiwa na lengo lake. Huyo alikuwa ameshakuchoka kwa hiyo ulipomwambia muachane alifurahi sana. Kuwa makini kwenye mapenzi. Kama Christiano Ronaldo anamlipa mpenzi wake kwa mwezi dola elfu 80 maana yake unaijua? Muulize yule aliyesema unaijua V8 wewe atakujibu ndiyo utajua kwanini hajaoa hadi leo na mshiko anao wakutosha
 
Hakika na mimi leo hii ndio nikajua ule inawezekana ulikua mpango wa Mungu na ndio imekua pona pona yangu.
Naiona pesa yangu.
Naiona afya yangu
Naiona freedom
Naziona hatua nazopiga kwa kasi mnoo

WAtoto wangu watatu ninao somesha ,haikuwah tokea nimemaliza kulipa school feez zao kabla ya July kama ambavyo nimeweza mwaka huu ndani ya miezi 8 toka tuachane. Am making it in life soo effortlessnesvelly compared to when i was with her.
congrats, I always say kuwa amani ya moyo wako ina thamani kubwa sana.
 
Lakini ujue kuna tofauti kati ya raha na furaha mwingine anaweza kuonekana anakula raha (anaenjoy na kupost status nzuri) lakini moyoni hana furaha na haya ni siri ya mtu huwezi kuyajua
 
kumbuka kila mtu anaingia kwenye mapenzi akiwa na lengo lake. Huyo alikuwa ameshakuchoka kwa hiyo ulipomwambia muachane alifurahi sana. Kuwa makini kwenye mapenzi. Kama Christiano Ronaldo anamlipa mpenzi wake kwa mwezi dola elfu 80 maana yake unaijua? Muulize yule aliyesema unaijua V8 wewe atakujibu ndiyo utajua kwanini hajaoa hadi leo na mshiko anao wakutosha
Duh! Wakati mwingine ntakuwa makini
 
Ma

Mapenzi ndivo yalivyo, na hivyo ndivyo yanavotesa"
Si juzi kati tu ulisema ulimkataa aged broken single father, na ukasema ni bora uwe na age mate wako ambae anajitafuta? Kupanga ni kuchagua"
Yeah ni kweli japo ule uzi siyo wangu mimi nilienda kuunga mkono hoja
 
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.

Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Huyo jamaa atakuwa ni mimi kabisaa😋😋😋😋😋😋
 
Si ndio,,apa tujitahid kumfariji,kuna sonona ujue 😂😂😂
Ujue ni mbaya sana ku wish mtu a undergo torture wakati hujui uwezo wake wa kustahimili mambo.
Mfano mimi, baada ya mazonge ya ex, nilijiambia kuwa kwakua mwenzangu ndio kayaanzisha basi yawezekana alishajiandaa so nitarajie tena nisishangae kuona yeya ana glow, ana move on faster, ana shine kwakua she waa prepared for this.
Mimi badala yake kwakua kwangu imekua suprise, nitarajie maumivu ya kwenda, nitarajilio kulia kama mbwa koko aliyepigwa na tofali ila mwisho wa siku nitazoea na nitakaa sawa. Kwahiyo nili take time kuombeleza the loss. Sikuji deny kulia kama nalia msiba pale nilipokua nazidiwa na maumivu, nilikua nikiona ya leo yamekua makali napanda zangu mlimani kabisaa porini nalia na scream like crazy nikimaliza narud home naoga nalala siku inapita. Na kwel bwana haikuchukua muda mrefu uchungu ukanizoea na ukanipotea na nikaanza ku heal mpaka tulipoanza tena mawasiliano kwa ajili ya affairs za watoto.

Sasa niliyemtarajia kuwa ana move on a kuwa happy kwa kupata alichotaka, nikawa naona tukiongea mimi ndio nakua calm and composed kuliko yeye. Nikawa naona kabisa she is soo bitter, eeh nikasema makubwa haya. Zaid ilipofika time tunaonana for the first time, nikagundua am looking so much better by far kuliko yeye. Amepungua amekonda wakat mimi nimenenepa 😂 na sina shida ndogo ndogo wqla za kati kabisaaa.
Na kwakua namjua for years, hata alipokua anajitahid kuficha na ku act normal nikawa naona kabisa she is not okay at all.

Mnaya zaid na kilichoniumiza kuhusu yeye nilipokua huko last week, ni pale mu first born aliponamba kuwa "namuona mama anamweza madawa kila siku".

Pale nikashindwa kujizuia, nikampigia simu (nankumbe time hiyo pia yuko hospital) nikamuuliza cheerfully tu bila kebehi wala kuonyesha nafurahi lakin pia sikuonyesha kuwa namhurumia, nikauliza "kumbe wewe unaumwa na husemi?"
Hapo ikabid anifungukie kuwa anaumwa toka mwezi january tumbo linamsumbua sana kila wanachopima hakionekani na hivyo hata dawa anazokunywa hajui wanatibu nini. Anakunywa dawa hali inatulia for 3 days na inarudi tena so anahangaika sana toka January.

Nikaishia tu kumpa pole.

Always, usipende ku wish mtu ateseke, we pambana na hali yako, ya kwake muachie mwenyewe, vinginevyo ndio kama haya ya mleta mada, anajikuta ana teseka yeya baada ya kuona mlengwa wake ana enjoy. 😂😂😂
 
Aaah kwaio mkuu unataka kusema ukimya ni bora zaidi😂😂😂
 
Hivyo ndio inatakiwa sasa, mtu amekuacha unamlilia wa nini? Mtu akikuacha na wewe unamuacha.
 
Back
Top Bottom