Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

I thought angetaka suluhisho, lakini naona alikuwa na plan B, kweli sikuwa napendwa🥲
Plan B ni muhimu sana kwenye haya maisha ya AI. Ukijiona keki nakuona gimbi tu.

Ukishamdharau mtu na kumuacha achana nae mazima na acha kumfuatilia fuatilia. Kuna kenge moja ilinitesaga sana ila kwa sasa naona inateseka nami sana alafu mwamba sijali lolote.
 
Maisha haya, ila ndiyo hivyo tunajifunza kutokana na makosa
 
Mi kuna demu alikuwa ananipiga mizinga sio mchezo haipiti siku mbili atazusha tukio linalohitaji hela yaani kila baada ya siku mbili ten linanitoka sema bonge moja la demu yaani ilikuwa nikitembea watu wote tunapopita wanatiangalia sisi basi siku tukapanga appointment akazingua halafu ikawa hana sababu za msingi akanambia "niache unanisumbua una gubu sana" na hiyo ndio ilikuwa ticket yake ya mimi na yeye kuachana.

Ikawa anatuma text najibu ila kimkato mpaka mawasiliano yakafa kabisa nikasema alhamdulilah demu ilikuwa anapiga mizinga balaa halafu analeta dharau kwa hyo kama ww ni mwanamke umeachana na boy friend wako halafu anafurahia basi ujue ulikuwa bomu la machozi.
 
Duh! Huyo wako alizidi, mimi sikuwa hivyo maana sikuwa namtegemea kabisa kwenye kuendesha maisha yangu
 
Alistahili ningeweka picha hapa sema maadili hayaruhusu bonge moja ya toto la kipare nacho ya ray c shingo ya ummy mwalimu yule mtoto alikuwa pisi nilikuwa namtania namwambia manara akikona basi anakuweka ndani rushayna hakanyagi.
 
Hapo siyo kwamba wamekuwa sugu. Jua kuwa Hupendwi na huna Thamani kwake ndo maana anaona hajapoteza kitu
 
Alistahili ningeweka picha hapa sema maadili hayaruhusu bonge moja ya toto la kipare nacho ya ray c shingo ya ummy mwalimu yule mtoto alikuwa pisi nilikuwa namtania namwambia manara akikona basi anakuweka ndani rushayna hakanyagi.
Kwa uzuri huo, si atakuwa ameshaolewa sasa hivi?
 
Back
Top Bottom